Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Programu" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Maunzilaini (elekezo toka kwa Programu) Maunzilaini (pia: maunzi laini, kwa Kiingereza software) ni jumla ya programu na data zinazodhibiti utendaji wa kazi ya kompyuta. Ni tofauti na mashine... |
Stellarium ni programu ya bure yenye leseni ya matumizi ya bure kwa umma. Ni programu nzuri na mahususi kwa kuona anganje kupitia kompyuta au simu ya... |
programu ni jumla ya mawazo na dhana zinazoainisha mtindo wa kutengeneza programu za kompyuta. Paradigma ya programu haiainishwi na lugha ya programu... |
Programu ya kompyuta ni mkusanyo wa maelekezo ambayo hufanya kazi maalumu wakati mkusanyo huo unafanywa na kompyuta. Kompyuta inahitaji mipango ya kufanya... |
Programu tumizi, maarufu kama Protu (kwa Kiingereza: App), ni programu za tarakilishi zinazotumiwa hasa na simujanja na saajanja na ni tofauti na zile... |
lugha ya programu ambayo iliundwa na Guido van Rossum na ilianzishwa tarehe 20 Februari 1991. Leo tunatumia Python 3.0. Python ni lugha ya programu ya kiwango... |
Lugha ya programu ni aina ya lugha iliyoandikwa inayoongoza tarakilishi kufanya kazi fulani kama inayotarajiwa na mwandishi. Lugha za namna hiyo zinatumika... |
ni lugha ya programu. Iliundwa na Jean Ichbiah na CII Honeywell Bull na ilianzishwa tarehe 1 Februari 1980. Iliundwa ili kuumba programu na kurahisisha... |
Katika utarakilishi, programu ya mfumo (kwa Kiingereza : "system software") ni programu inayotoa jukwaa ili programu nyingine ifanye kazi. Kwa mfano,... |
ni mtu anayeunda programu za kompyuta. Msanidi programu huunda programu ya kompyuta kwa kutoa maelekezo (kupitia lugha ya programu husika) kwa kompyuta... |
ambalo lilianzishwa katika nchi ya Marekani na lina programu nyingi kwa wanafunzi na walimu. Nia ya programu zote za Fulbright ni kuhimiza amani, ufahamu, na... |
utarakilishi, ufunguo programu (kwa Kiingereza: product key au software key) ni neno la siri linalotumika ili kuamilisha programu moja. Kahigi, K. K. (2007)... |
Utaratibu (kwa Kiingereza: subroutine) ni sehemu ya programu ya kompyuta iliyopewa jina au inayotambuliwa kwa njia nyingine yenye elezo la seti yoyote... |
C ni lugha ya programu. Iliundwa na Dennis Ritchie na ilianzishwa tarehe 1 Januari 1972. Iliundwa ili kuumba mifumo ya uendeshaji. Leo tunatumia C 18.... |
Java ni lugha ya programu. Iliundwa na James Gosling na ilianzishwa tarehe 23 Mei 1995. Iliundwa ili kuumba programu kwa Android. Leo tunatumia Java SE... |
Katika utarakilishi, programu ya usimbaji fiche (kwa Kiingereza: encryption software) ni programu inayotumika kuzuia ufikivu usioidhinishwa wa taarifa... |
Makala hii ina dalili ya kutungwa kwa kutegemea programu ya kompyuta kama vile "Google translation" au "wikimedia special:content translation" bila masahihisho... |
kama lugha za programu. Nadharia ya lugha ya programu inahusiana sana na nyanja nyingine ikiwa ni pamoja na hisabati, uhandisi wa programu, na lugha. Kuna... |
madhumuni ya jumla ambayo inasaidia dhana nyingi za programu. Iliundwa kwa msisitizo juu ya tija ya programu na urahisishaji. Katika Ruby, kila kitu ni kitu... |
utarakilishi ni mkusanyo wa taratibu au class zinazotumiwa kwa kutengeneza programu za kompyuta. Inaonekana kama istilahi ya maktaba ya utaratibu ilitumiwa... |