Rasi Ya Italia

Rasi ya Italia au Rasi ya Apenini ni kati ya rasi kubwa za Ulaya, yenye urefu wa zaidi ya kilomita 1,000 kutoka milima ya Alpi hadi kuishia katikati ya Mediteranea.

Rasi Ya Italia
Rasi ya Italia inavyoonekana kutoka angani

Iko kusini mwa Ulaya ikizungukwa na Bahari Mediteranea pande tatu. Umbo lake ni kama mguu unaocheza mpira na mpira ni kisiwa cha Sisilia.

Karibu eneo lake lote ni nchi ya Italia. Maeneo matatu madogo ya kujitegemea ndani yake ni San Marino, Monako na Mji wa Vatikani.

Jina la pili la Rasi ya Apenini linatokana na milima ya Apenini inayovuka sehemu kubwa ya urefu wa rasi. Kaskazini kuna tambarare kubwa lenye rutuba.

Rasi Ya Italia Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Italia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AlpiKilomitaMediteraneaMilimaRasiUlayaUrefu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uundaji wa manenoTetekuwangaAfrika Mashariki 1800-1845Magonjwa ya kukuUpepoMkoa wa PwaniMilango ya fahamuMauaji ya kimbari ya RwandaNyegeAthari za muda mrefu za pombeChristopher MtikilaWayahudiUyahudiHaki za watotoWanyamaporiNahauOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaUzalendoHalmashauriClatous ChamaViwakilishi vya kumilikiNdege (mnyama)Kitenzi kishirikishiDemokrasiaKongoshoSimbaWaziriPapaMshubiriJoseph ButikuRufiji (mto)IsimujamiiSaidi Salim BakhresaMkoa wa TangaBloguHaki za binadamuJay MelodyMkoa wa MaraUaAbedi Amani KarumeNgano (hadithi)BibliaPichaDivaiOrodha ya vitabu vya BibliaVivumishi vya pekeeUchawiTanganyikaMpira wa mkonoChumba cha Mtoano (2010)Wimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiSarufiUtumbo mpanaMilanoMtakatifu MarkoUmaskiniKariakooMaandishiUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020LongitudoMwanamkeNominoTume ya Taifa ya UchaguziKilimoLuhaga Joelson MpinaDiglosiaKidole cha kati cha kandoOrodha ya Magavana wa TanganyikaUmememajiAli Hassan MwinyiIndonesiaMahakamaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziHuduma ya kwanza🡆 More