Pantherinae Chui

Jenasi 2:

Chui
Chui-theluji (Panthera uncia)
Chui-theluji (Panthera uncia)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Ngeli: Mammalia (Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)
Oda: Carnivora (Wanyama mbuai)
Nusuoda: Feliformia (Wanyama kama paka)
Familia: Felidae (Wanyama walio na mnasaba na paka)
Nusufamilia: Pantherinae (Wanyama wanaofanana na chui)
Pocock, 1917
Ngazi za chini

Chui ni wanyama mbuai wakubwa wa nusufamilia Pantherinae katika familia Felidae. Isipokuwa spishi moja (simba), wanyama hawa wana madoa au milia. Spishi nyingi zinatokea misitu au maeneo mengine yenye miti katika Afrika, Asia na Amerika, nyingine zinatokea savana na hata milima.

Spishi za Afrika

Spishi za mabara mengine

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

HomoniUmaskiniJose ChameleoneAmri KumiSimuHussein Ali MwinyiLongitudoViunganishiUjerumaniUbungoVitendawiliMtume PetroNyaniWingu (mtandao)Wabunge wa Tanzania 2020Masafa ya mawimbiWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiShahawaHistoria ya KanisaLughaDodoma (mji)KenyaApril JacksonMeno ya plastikiMbagalaAli KibaOrodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoAustraliaUkutaWamasaiJacob StephenSah'lomonKinembe (anatomia)ShengHistoria ya UislamuNdovuZakaKonsonantiOrodha ya makabila ya TanzaniaKitenzi kikuuLady Jay DeeVipera vya semiKitenziAlama ya uakifishajiMkoa wa KageraSteve MweusiDiniJakaya KikwetePunyetoOrodha ya viongoziWhatsAppViwakilishi vya urejeshiUbaleheShetaniIdi AminKongoshoHistoria ya ZanzibarMatiniMagonjwa ya kukuNyangumiHurafaHistoria ya AfrikaVita Kuu ya Pili ya DuniaMaktabaWaheheUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaJichoHadhiraMartha MwaipajaViwakilishi vya kumiliki🡆 More