Nagorno-Karabakh (kwa Kirusi: Нагорный Карабах, yaani Karabakh ya mlimani; kwa Kiarmenia: Լեռնային Ղարաբաղ; kwa Kiazeri: Dağlıq Qarabağ; kwa jina lingine: Artsakh (Արցախ) ni eneo la milima na misitu lisilofikia bahari ndani ya mkoa wa Karabakh, kusini mwa Kaukazi.
Nagorno-Karabakh inagombaniwa: nchi nyingi zinaitambua kuwa sehemu ya Azerbaijan, lakini kwa kiasi kikubwa inaunda Jamhuri ya Artsakh ambayo de facto inajitegemea kwa kuongozwa na wakazi wake wengi wenye asili ya Armenia tangu mwaka 1988.
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Nagorno-Karabakh kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Nagorno-Karabakh, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.