Mwanasheria

Mwanasheria ni mtaalamu wa fani ya sheria.

Mara nyingi huingia katika kazi ya wakili, lakini anaweza vilevile kufundisha sheria katika vyuo, kuwa mshauri wa kampuni n.k.

Ili kufahamu vizuri kuhusu kazi za mwanasheria ni vema ujiulize maswali haya, ‘Ni nini asili ya Sheria? Sheria inatoka wapi? au chanzo cha sheria ni nini?'

Kwa ufupi ni kwamba zipo dhana nyingi na tofautitofauti sana zinazoelezea asili ya sheria ambazo zimeelezewa na wasomi wa sheria wa karne zilizopita. Hata hivyo wasomi hawa wa sheria wanakubaliana kuwa asili ya sheria inaweza kufuatiliwa tangu kuanza kuishi kwa mwanadamu hapa ulimwenguni. Hivyo msimamo wa wasomi wa sheria wengi ni kuwa sheria ilianza pale watu walipoanza kuishi kama jamii.

Mwanasheria Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mwanasheria kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

FaniKampuniKaziMtaalamuSheriaVyuo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Andalio la somoUenezi wa KiswahiliMtume PetroUmaskiniHoma ya manjanoTamathali za semiDNAOrodha ya miji ya TanzaniaHistoria ya Afrika KusiniIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)Martin LutherToharaTungo kiraiAsiaAthari za muda mrefu za pombeNdovuMadawa ya kulevyaSokwe (Hominidae)PonografiaWahaMagonjwa ya kukuShairiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMatumizi ya lugha ya KiswahiliSentensiDaudi (Biblia)Vivumishi vya kuoneshaNchiMuungano wa Tanganyika na ZanzibarViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)SautiMkoa wa RuvumaUislamu nchini São Tomé na PríncipeJoyce Lazaro NdalichakoMkoa wa KilimanjaroMitume na Manabii katika UislamuWachaggaMkoa wa SimiyuOrodha ya miji ya Afrika KusiniOrodha ya milima mirefu dunianiInjili ya MathayoJay MelodyUtamaduniMafuta ya petroliKylian MbappéKombe la Dunia la FIFATabianchi ya TanzaniaOrodha ya vitabu vya BibliaUsafi wa mazingiraStephane Aziz KiVisakaleUzazi wa mpango kwa njia asiliaUzazi wa mpangoLatitudoWingu (mtandao)SitiariTawahudiMaajabu ya duniaFran BentleyMkoa wa MwanzaMsamiatiViwakilishi vya idadiNdege (mnyama)Mjusi-kafiriHerufiVirusi vya CoronaDully SykesUandishi wa ripotiUmojaDiniShuleUtoaji mimbaUchumiBara la AntaktikiWajitaWatutsi🡆 More