Muharram

Muharram (kwa Kiarabu: محرم ) ni mwezi wa kwanza katika kalenda ya Kiislamu.

Ni kati ya miezi minne mitakatifu ya mwaka.

Jina la mwezi limetokana na neno "haram" yaani "mwiko" au "kukatazwa" kwa maana ya kwamba vita haitakiwi mwezi huo.

Siku ya kwanza ya Muharram ni Mwaka Mpya wa Kiislamu.

Ashura

Sikukuu ya Ashura iko tarehe 10 Muharram. Hasa Waislamu Washia hukumbuka kifo cha Hussein ibn Ali (mjukuu wa Mtume Muhammad anayeheshimiwa kama Imamu wa Washia) kwenye mapigano ya Kerbela.

Kwa jumla Washia wanaangalia Muharram kama mwezi wa huzuni na katika mazingira yenye Washia wengi kuna mikutano mingi ya kidini ambako historia ya Ashura na kifo cha Hussein inakumbukwa kuanzia siku ya kwanza hadi ya kumi ambayo ni Ashura.

Kati ya Wasunni siku ya Ashura inatazamwa kama siku ya saumu hasa..

Tanbihi

Marejeo

Tags:

Kalenda ya KiislamuKiarabuMwakaMwezi (wakati)

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Injili ya LukaVitenzi vishirikishi vikamilifuWapareFeisal SalumMfumo wa lughaMamaNilePumuWamasaiMfumo wa mzunguko wa damuAmfibiaShabaniMsamiatiVipaji vya Roho MtakatifuDodoma (mji)SarufiUtafitiThabitiKaswendeUchimbaji wa madini nchini TanzaniaMazingiraFigoKamusi za KiswahiliMahariMarie AntoinetteAurora, ColoradoAMkoa wa ShinyangaRaila OdingaInjili ya MathayoLGBTOrodha ya makabila ya KenyaFonetikiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaChuraUfupishoUsafi wa mazingiraKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMaudhuiMtawaKiburiTimu ya Taifa ya Kandanda ya KenyaMziziZana za kilimoUkristoVasco da GamaJeshiFIFAZuhuraProtiniKipindupinduUtawala wa Kijiji - TanzaniaAfrika ya Mashariki ya KijerumaniAfrika ya MasharikiTashihisiKinyongaKuchaBiashara ya watumwaHifadhi ya mazingiraNdege (mnyama)Mkoa wa GeitaHektariUhuruSamliMakkaSayari ya TisaKitabu cha ZaburiKitufeHistoria ya TanzaniaMarekaniKamala HarrisNelson MandelaKunguruMadiniUganda🡆 More