Milima Ya Altai

Milima ya Altai ni safu ya milima katika Asia ya Kati na ya Mashariki.

Milima mirefu zadi hufikia kimo cha mita 4,500.

Milima Ya Altai
Ramani ya safu ya mlima wa Altai.

Urusi, China, Mongolia, na Kazakhstan zinakutana katika milima hii, ambayo ni chanzo cha mito ya Irtysh na Ob.

Safu hiyo imeungwa na Milima ya Sayan kwenye kaskazini mashariki ikiishia upande wa kusini mashariki katika Jangwa la Gobi.

Wakazi wa eneo lake si wengi wakiwa mchanganyiko wa Warusi, Wakazakhi, Waaltai na Wamongolia.

Uchumi wa eneo hilo unategemea ufugaji wa ng'ombe, farasi na kondoo, pamoja na kilimo, misitu, na uchimbaji madini.

Sehemu ya safu hiyo imeorodheshwa na UNESCO kama urithi wa dunia.

Viungo vya nje

Milima Ya Altai  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Milima ya Altai kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Asia ya KatiAsia ya MasharikiKimoMitaSafu ya milima

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Mlo kamiliMisimu (lugha)Osama bin LadenWiki CommonsMsalaba wa YesuOrodha ya nchi za AfrikaWikipediaPicha takatifuHomanyongo CAthari za muda mrefu za pombeRiwayaNetiboliRwandaKonsonantiKoffi OlomideChatuUzazi wa mpango kwa njia asiliaUongoziUsultani wa ZanzibarBibliaBotswanaBarabaraUandishi wa inshaDhahabuMisemoHassan bin OmariKisiwa cha MafiaHistoria ya WokovuKatekisimu ya Kanisa KatolikiKiboko (mnyama)MuzikiNyasa (ziwa)WayahudiMkoa wa MwanzaWaluguruKalenda ya KiislamuMbeguTashdidiVipaji vya Roho MtakatifuMwenge wa UhuruHafidh AmeirTesistosteroniMjasiriamaliUkooMuungano wa Tanganyika na ZanzibarYesuKifo cha YesuAlama ya uakifishajiUchimbaji wa madini nchini TanzaniaAndalio la somoIntanetiDodoma (mji)Mohammed Gulam DewjiUkristoKigoma-UjijiUhifadhi wa fasihi simuliziIndonesiaUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiAfande SeleNgome ya YesuNguvaFananiShambaAfyaUajemiKiingerezaWiktionaryMaudhuiMariooJumuiya ya Afrika MasharikiBurundiOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaNgamiaKataUmaskini🡆 More