Mariolojia ya Kilutheri inajumlisha mitazamo ya theolojia ya madhehebu ya Kikristo ya Kilutheri kuanzia Martin Luther mwenyewe na wataalamu wa baadaye kuhusu Bikira Maria, Mama wa Yesu.
Baadhi ya waanzilishi wa Uprotestanti kama Martin Luther na
Zaidi ya hayo, Martin Luther alishikilia dogma kuhusu Maria kwamba ni Bikira daima na anaweza kuitwa Mama wa Mungu Tena alitetea mtazamo kwamba alikingiwa dhambi ya asili, au walau aliishi bila dhambi.
Kwake suala lilikuwa si heshima kwake, bali kiwango cha kufaa cha heshima hiyo.
Hadi sasa Shirikisho la Kimataifa la Walutheri linakubali kumuita Maria "Mama wa Mungu".
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Mariolojia ya Kilutheri, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.