Maporomoko Ya Niagara

Maporomoko ya Niagara (Niagara Falls) ni mfululizo wa maporomoko ya maji kwenye mto Niagara yaliyopo mpakani mwa Kanada na Marekani kati ya Ziwa Erie na Ziwa Ontario.

Ni maporomoko makubwa ya Amerika ya Kaskazini.

Maporomoko Ya Niagara
Maporomoko ya Niagara (Horseshoe Falls)

Wenyeji hutofautisha maporomoko matatu

  • Horseshoe Falls (maporomoko ya mguu wa farasi, yanaitwa pia maporomoko ya Kikanada)
  • Maporomoko ya Kimarekani
  • Maporomoko ya Bridal Veil (utaji wa bibi arusi)

Ni kitovu cha utalii katika Amerika ya Kaskazini kinachotembelewa na watalii wngi sana.

Kuna miji miwili inayoitwa Niagara Falls upande wa Kanada na mwingine upande wa Marekani.


Tazama pia

Viungo vya Nje

Maporomoko Ya Niagara 
WikiMedia Commons
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

KanadaMaporomoko ya majiMarekaniMto NiagaraZiwa ErieZiwa Ontario

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

El NinyoSimbaMkoa wa MbeyaMkoa wa ArushaBarua rasmiVihisishiNgono zembeMadawa ya kulevyaMsamiatiKata za Mkoa wa Dar es SalaamMilango ya fahamuHistoria ya TanzaniaAlfabetiWapareBinadamuUKUTAUfugajiMajira ya mvuaMaandishiHussein Ali MwinyiHerufiMapambano kati ya Israeli na PalestinaOrodha ya milima ya AfrikaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarSiriVivumishi vya kumilikiKukuSadakaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaWilayaKamusi ya Kiswahili sanifuMitume wa YesuMaishaMwanzoWanyamaporiStadi za maishaRuge MutahabaNgeliSinagogiTarbiaYanga PrincessNdiziMziziMauaji ya kimbari ya RwandaAgano la KaleNguruwe-kayaBikiraNuktambiliBawasiriMartha MwaipajaHomoniAfrika Mashariki 1800-1845AnwaniKiarabuMsitu wa AmazonWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiLiverpoolNguzo tano za UislamuAunt EzekielSteve MweusiUkatiliHali ya hewaHistoria ya uandishi wa QuraniUpinde wa mvuaRitifaaMaudhuiHektariMchwaLongitudoKichecheAustraliaHarmonizeNamba tasaAlomofu🡆 More