Ontario

Ontario ni jimbo (province) la Kanada upande wa Ghuba ya Hudson. Imekuwa jimbo la Kanada tangu 1867.

Ontario
Ontario
Bendera
Nchi Bendera ya Kanada Kanada
Mji mkuu Toronto
Eneo
 - Jumla 1,076,395 km²
Tovuti:  http://www.ontario.ca/
Ontario
Maporomoko ya Niagara

Lina eneo la km² 1,076,395. Ni jimbo kubwa la pili katika Kanada baada ya Quebec.

Limepakana na Quebec, New York, Michigan na Manitoba. Upande wa kusini kuna Ziwa Superior, Ziwa Huron, Ziwa Erie na Ziwa Ontario.

Kuna wakazi milioni kumi na tatu (13,425,124).

Mji mkuu ni Toronto ambayo pia ni mji mkubwa wa Kanada.

Lugha rasmi ni Kiingereza (de facto).

Miji Mikubwa

  1. Toronto (5,813,149)
  2. Ottawa (1,130,761)
  3. Hamilton (692,911)
  4. London (352,395)
  5. Kitchener (451,235)

Viungo vya Nje

Ontario 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Ontario  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ontario kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Hussein KaziUbongoRushwaShambaMgonjwaKontuaNamba tasaVidonge vya majiraNuktambiliBiashara ya watumwaBaraUmaskiniMlo kamiliDhanaBinadamuAlama ya barabaraniSalaKishazi huruBabuMkoa wa SimiyuOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoChristina ShushoKaaUnyagoAina za manenoJokofuHali ya hewaMashuke (kundinyota)Homa ya manjanoHektariMimba za utotoniItikadiPaka (maana)Soga (hadithi)WhatsAppAjuzaKidoleUpinde wa mvuaTungo sentensiKongoshoAngahewaHerufi za KiarabuMwanzo (Biblia)Orodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoLigi Kuu Tanzania BaraAnthropolojiaMichezo ya jukwaaniBarua rasmiVielezi vya namnaUkomeshaji wa Biashara ya WatumwaDoto Mashaka BitekoKata za Mkoa wa Dar es SalaamSanaaUkatili wa kijinsiaAdolf MkendaUajemiMkonoKiraiChe GuevaraSintaksiKito (madini)Kilwa KisiwaniMungu ibariki AfrikaHifadhi ya Taifa ya NyerereMnururishoUzazi wa mpangoHifadhi ya NgorongoroSan Jose, CaliforniaMaktabaAustraliaDolaUgonjwa wa kuharaMsongola🡆 More