Majira Ya Kupukutika Majani: Msimu unaofuata baada ya majira ya joto na msimu kabla ya msimu wa baridi

Majira ya kupukutika majani (kwa Kiingereza Fall au Autumn) ni mojawapo kati ya majira manne ya kanda za wastani, na halijoto yake ni ya baridi kiasi.

Kadiri ya umbali na ikweta, mchana unazidi kuwa mfupi na usiku kuwa mrefu.

Majira Ya Kupukutika Majani: Msimu unaofuata baada ya majira ya joto na msimu kabla ya msimu wa baridi
Uzuri wa majani kupuputika katika Green Mountain National Forest.

Pamoja na hayo, miti mingi, isipokuwa misonobari na misanduku, inaweza ikapotewa na majani yote: ndiyo asili ya jina la majira.

Kwa Kiswahili majira ya namna hiyo pia huitwa masika.

Yanafuata majira ya joto (kwa Kiingereza "Summer") na kutangulia majira ya baridi (kwa Kiingereza "Winter").

Majira hayo yanatokea duniani kwa nyakati tofauti kadiri eneo husika lilivyo kaskazini au kusini kwa ikweta. Hata katika nchi ileile, kwa mfano Kenya, majira ni tofauti upande huu na upande huu wa ikweta.

Tanbihi

Viungo vya nje

Majira Ya Kupukutika Majani: Msimu unaofuata baada ya majira ya joto na msimu kabla ya msimu wa baridi 
WikiMedia Commons
Majira Ya Kupukutika Majani: Msimu unaofuata baada ya majira ya joto na msimu kabla ya msimu wa baridi  Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Majira ya kupukutika majani kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

HalijotoIkwetaKiingerezaMchanaUmbaliUsiku

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Orodha ya mito nchini TanzaniaDoto Mashaka BitekoWanyamaporiViwakilishiMbuga za Taifa la TanzaniaMaajabu ya duniaSamakiOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaKimara (Ubungo)VieleziPijini na krioliTambikoSimbaLughaSemiEl NinyoKimeng'enyaKigoma-UjijiMkoa wa LindiBurundiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuOrodha ya vitabu vya BibliaMbeya (mji)StashahadaKiambishi tamatiUandishi wa inshaKondomu ya kikeMkoa wa KilimanjaroNenoKiwakilishi nafsiBahashaIfakaraUtumwaHoma ya matumboMohamed HusseinSensaSakramentiAgano la KaleMpira wa miguuJava (lugha ya programu)Mimba za utotoniNomino za pekeeShahawaAgostino wa HippoViunganishiMziziUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaVivumishi vya kumilikiMperaSaida KaroliMlima wa MezaWingu (mtandao)Mr. BlueAdolf HitlerJoseph ButikuHedhiSodomaNgw'anamalundiSamia Suluhu HassanNambaDiniKitenzi kikuuUsafi wa mazingiraHaki za binadamuMaktabaMauaji ya kimbari ya RwandaHistoria ya KiswahiliAzimio la ArushaWaheheWashambaaKipindupinduSkeli🡆 More