Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Halijoto" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Halijoto (pia: Jotoridi) ni neno la kutaja hali ya kitu kama ni baridi au moto. Wanadamu wana mishipa inayoonyesha tofauti kati ya baridi na joto. Kwa... |
Kupanda kwa halijoto duniani (ing. global warming) ni mchakato wa mabadiliko ya tabianchi yaliyotambuliwa na wataalamu tangu miaka kadhaa. Mchakato huo... |
kipimo cha halijoto kinachotumika zaidi duniani. Alama yake ni °C. Kipimo hiki hutumia skeli ya vizio 100 kati ya 0 °C na 100 °C. 0 °C ni halijoto ya kuganda... |
Kiwango cha kuchemka ni halijoto ambako kiowevu huchemka. Kiwango hiki ni halijoto ya juu ambako dutu yaendelea kuwa kiowevu. Kuongezeka kwa kiasi kidogo... |
Gesijoto (elekezo toka kwa Gesi za kupandisha halijoto duniani) mabadiliko katika halijoto ya dunia kwa jumla; kama gesijoto zinaongezeka halijoto ya dunia inapanda na kama gesijoto zinapungua halijoto ya dunia inashuka... |
Tabianchi (Kiing. climate) inamaanisha jumla ya halijoto, unyevuanga, kanieneo ya angahewa, upepo, usimbishaji na tabia nyingine zinazoathiri hali ya hewa... |
Homa ni hali ya wanyama kuwa na halijoto ya mwili juu ya halijoto ya kawaida (37 °C katika mamalia). Halijoto ya kawaida ya mwanadamu ni kati ya 36.6... |
na kupunguza mjao kwa njia hii. Mjao wa gesi hutegemea halijoto na shindikizo. Kama halijoto inaongezeka na shindikizo haibadiliki mjao utaongezeka.... |
kanieneo kubwa inaendelea kupatikana kama kiowevu hata kama halijoto yake inapanda tena. Kama halijoto inashuka zaidi hadi kufikia -220 °C kuna pia uwezekano... |
halijoto. Alama yake ni °F. Skeli ya fahrenheit ilibuniwa 1724 na mwanafizikia Mjerumani Daniel Gabriel Fahrenheit. Ilikuwa skeli ya kupima halijoto iliyotumiwa... |
unyevuanga hutegemea halijoto ya hewa. Hewa baridi ina uwezo mdogo kutunza unyevu ndani yake, kiasi kinaongezeka kadiri halijoto iko juu zaidi. Pale ambapo... |
kwenye halijoto fulani, maana ni tofauti kiasi kati ya Dar es Salaam na Nairobi. Jedwali linalofuata linaonyesha unyevuanga wa juu kwenye halijoto fulani;... |
ni CO2. Katika mazingira ya kawaida hutokea kama gesi inayoganda kwenye halijoto chini ya -78.5°C. Katika hali ya gesi haina ladha wala harufu. Dioksidi... |
eneo ambako miti haiwezi kustawi kutokana na halijoto duni na kipindi kifupi cha kuota kwa majani. Halijoto ya ardhi chini ya kina cha sentimita 30-200... |
kumaanisha: kipimo cha nyuzi za maumbopembe katika jiometri au za themometa, halijoto au nyuzijoto shahada, iliyo hati ya kiwango cha elimu inayotolewa kwa mtu... |
Sifuri halisi katika fizikia ni kiwango cha halijoto ya duni kabisa inayowezekana. Ni sawa na vizio −273.15° kwenye skeli ya selsiasi au vizio 0° kwenye... |
kiwango fulani cha joto hata katika mabadiliko ya halijoto. Ni tofauti na damu baridi ya samaki, reptilia na amfibia ambayo inafuata halijoto ya mazingira.... |
kufuata halijoto ya mazingira. Ni tofauti na damu moto ya mamalia na ndege ambayo inabaki na kiwango fulani cha joto hata katika mabadiliko ya halijoto.... |
Usimbishaji unaanza pale ambapo hewa yenye joto na mvuke hupanda juu. Juu zaidi halijoto yake inapungua na mvuke ndani ya hewa unaanza kuwa matone ya maji. Kila... |
wengi. Katika miaka ya nyuma tumbawe ziko hatarini kutokana na kupanda kwa halijoto ya maji. Tayari sehemu za tumbawe zimekufa. Mapatano ya nchi za Karibi... |