Kisafishi ombwe (kwa lugha ya Kiingereza vacuum cleaner) ni kifaa kinachofagia na kusafisha sakafu, mikeka (carpet cleaning Archived 12 Septemba 2017 at the Wayback Machine.)na kuta kwa kutumia teknolojia ya kwamba mata hairuhusu pahala pawe ombwe.
Kisafishi ombwe hufanya hivi kwa kutumia pampu ya hewa ambayo hufanya pahala pawe ombwe na kwa njia hii kufyonya vumbi au takataka yoyote iliyokuwa pahala panaposafishwa. Huweza kufyonza takataka na hata unyevu.
Takataka au vumbi huokotwa kwa mfuko wa kisafishi ombwe. Visafishi ombwe hutumika nyumbani na hata kwa makampuni makubwamakubwa. Visafishi ombwe vya makampuni huwa kubwa na huweza kuhifadhi uchafu mwingi zaidi vikilinganishwa na vile vya nyumbani.
Kifaa hiki chaweza kutumia nguvu za umeme kupitia waya au hata betri ndogo.
Hizi ndizo aina za visafishi ombwe:
Makala hii kuhusu mambo ya teknolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hiyo kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kisafishi ombwe, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.