Matokeo ya utafutaji kwa ajili ya
Kuna ukurasa unaoitwa "Kifaa" kwenye Wiki Kiswahili. Angalia pia matokeo mengine ya utafutaji yaliyopatikana.
Kifaa (kutoka kitenzi "kufaa") ni kitu chochote ambacho kinaweza kutumika kufikia lengo fulani. Zana zinazotumiwa na wanadamu katika kurahisisha kazi... |
Katika utarakilishi na katika kiolesura michoro cha mtumiaji, kifaa michoro au kipengee michoro ya kidhibiti (kwa Kiingereza: graphical widget au graphical... |
Kwa maana tofauti ya neno hilo angalia Mwiko Mwiko ni kifaa cha ubao kilicho bapa na chembamba upande wa mshikio na pana zaidi upande mwingine. Hutumika... |
Kifaa cha kutunzia ni chombo cha tarakilishi kinachotumiwa kwa kutunza rasilimali ya tarakilishi. Kwa mfano, diski ngumu, RAM au kisahani (CD) ni vifaa... |
Kifaa cha deni ni mkopo. Mwombaji hutoa ahadi ya kulipa riba fulani kila robo au nusu mwaka kuanzia tarehe fulani baada ya kupata mkopo huo na pia uahidi... |
Kitu (kwa lugha ya Kiingereza "thing") ni neno linaloelezea dutu, jambo, kifaa au chombo cha aina yoyote. Linatumika hasa kuhusu chochote kinachoundwa... |
Video (kutoka neno la Kilatini lenye maana ya "Ninaona") ni kifaa cha kielektroni ambacho kinaweza kunasa picha na sauti, kisha kuzionyesha na kuzisikiza... |
Jina neli linaweza kumaanisha: Aina ya kifaa au muundo wa mwili (Neli (kifaa)) Aina ya ndege wa familia ya chozi (Neli (ndege))... |
Sindano ya kushonea ni kifaa maalumu chenye ncha kali na tundu la kupenyezea uzi ambacho hutumika kwa kushonea. Sindano (tiba) ni kifaa maalumu kinachotumika... |
Kanda ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha: Kanda (kifaa) – kifaa kinachotumika kuhifadhia kumbukumbu kwa njia ya sauti. Kanda(kitenzi) – tendo la... |
Stethoskopu (Kusanyiko Kifaa cha matibabu) Stethoskopu (kutoka Kiing. stethoscope) ni kifaa cha kusikilizia sauti zinazotoka katika viungo mbalimbali vya mwili kama vile moyo, mapafu au utumbo... |
Mashine ni kifaa kilichobuniwa na binadamu kwa kurahisisha kazi yake. Mashine vinatumia nguvu inayoelekezwa kwa kutekeleza kazi maalumu. Kuna mashine... |
linaloweza kumaanisha: Kamba (nomino)- aina ya arithropodi inayotokea baharini. Kamba (nomino) – kifaa kinachotumika kufungia vitu au kuanikia nguo.... |
Kiyoyozi ni kifaa kinachowekwa kwenye vyombo vya moto au nyumba. Kifaa hiki kina uwezo wa kutoa hewa ya ubaridi au ya joto. Kwa sehemu zenye joto watu... |
Neno Mpare au mpare linaweza kumaanisha: Kifaa kinachoitwa faneli pia (mpare (kifaa)) Mwana wa kabila la Wapare... |
Sabuni ni kifaa cha kuletea usafi katika mwili wa binadamu au kitu chochote. Inatumika kwa ajili ya kusafishia na kuogea, na matumizi mengine mengi. Katika... |
ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha: Ngazi (nomino) – ni jina la kifaa ambacho hutumika wakati wa kukwea katika miti, dari au sehemu yoyote ya... |
Tupa ni neno la Kiswahili linaloweza kumaanisha: Tupa (kifaa) – ni kifaa kinachotumika kunolea vitu vyenye ncha kali kwa mfano kisu, panga au jembe. Tupa... |
Kalamu (kutoka neno la Kiarabu) ni kifaa cha risasi (kaboni) au kiwekwacho wino na kutumiwa kuandikia.... |
lina maana zaidi ya moja, Neno hili linaweza kumaanisha: Meza (samani) ni kifaa ambacho kina miguu mitatu au minne ambayo inashikilia sehemu ya juu na hutenganishwa... |