Kimaore (au Shimaore) ni lugha ya Kibantu nchini Mayote inayozungumzwa na Wakomori.
Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kimaore kisiwani kwa Mayotte imehesabiwa kuwa watu 92,800. Pia kuna wasemaji 3000 nchini Madagaska na 1500 kisiwani kwa Reunion. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kimaore iko katika kundi la G40, yaani iko karibu na Kiswahili.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kimaore kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Kimaore, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.