Malcolm Guthrie

Malcolm Guthrie (10 Februari 1903 - 22 Novemba 1972) alikuwa profesa wa Lugha za Bantu.

Anajulikana kwa uchambuzi wa Lugha za Kibantu katika makala ya Guthirie 1971, ambayo yamebaki makala muhimu hadi leo ingawa yamezeeka.

Maisha

Kuzaliwa

Malcolm alizaliwa Hove, Sussex, Uingereza.

Baba yake alikuwa ametokea Uskoti na mama yake Uholanzi.

Makala yake

Makala yake ni Comparative Bantu ambayo yalichapishwa katika matoleo manne:

  • Toleo la kwanza: mwaka wa 1967
  • Toleo la Pili: 1971
  • Toleo la Tatu na la Nne: 1970.

Matoleo haya yanatoa ainisho la jumla la Lugha za Bantu na pia kuyapa muundo mpya makala ya Proto Bantu kama Lugha itarajiwayo ya familia ya Kibantu.

Muundo wake mpya

Katika muundo wake mpya wa makala hiyo, Guthrie alitoa data kutoka 'Lugha 28 za majaribio' ambazo zilichaguliwa bila mpangilio maalumu.

Malalamiko yametolewa, kwa mfano na Möhlig, kwamba jambo hili linafanya makala yake kuwa ya kutotegemewa, kwa vile lugha zilizoundwa upya, na hivyo ukoo unaweza kuwa tofauti kutoka iwapo mmoja atabadilisha chaguo la lugha.

Guthrie pia alichapisha kwa ukubwa kuhusu lugha nyingi za Kibantu, ikiwemo Lingala, Baemba, Mfinu na Lugha ya Teke.

Tazama Pia

Virejeleo

Tags:

Malcolm Guthrie MaishaMalcolm Guthrie Muundo wake mpyaMalcolm Guthrie Tazama PiaMalcolm Guthrie VirejeleoMalcolm Guthrie10 Februari1903197222 NovembaLugha za BantuProfesa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MadiniSikioMkoa wa LindiWahaVita ya Maji MajiViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)HarusiRwandaKiingerezaPunyetoInjili ya YohaneKarne ya 18Fid QNyangumiUlemavuSomo la UchumiUturukiKiunguliaAgano JipyaUtamaduniUtapiamloAndalio la somoWasukumaMuda sanifu wa duniaOrodha ya Marais wa TanzaniaHaki za binadamuOrodha ya watu maarufu wa TanzaniaMagonjwa ya kukuKombe la Mataifa ya AfrikaTabianchiHadithi za Mtume MuhammadWaanglikanaUhuru wa TanganyikaSarufiMatamshiRoho MtakatifuHomanyongo CAli KibaInjili ya MathayoWanyamweziOrodha ya shule nchini TanzaniaImaniAina za udongoUzazi wa mpango kwa njia asiliaMlo kamiliKima (mnyama)Mkoa wa TaboraWamasoniBungeUlumbiDuniaNamba za simu TanzaniaNenoWayao (Tanzania)Faraja KottaYouTubeNelson MandelaWahayaMafuta ya wakatekumeniNyasa (ziwa)IsimuKisasiliUaMbiu ya PasakaShikamooWairaqwMotoZiwa ViktoriaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereUsafi wa mazingiraOrodha ya wanamuziki wa AfrikaUsawa (hisabati)AC MilanTovutiKisononoKadi ya adhabu🡆 More