Katerina Wa Aleksandria

Katerina wa Aleksandria (kwa Kigiriki ἡ Ἁγία Αἰκατερίνα ἡ Μεγαλομάρτυς; 282-305 hivi) alikuwa bikira Mkristo wa Aleksandria, Misri ambaye aliuawa kwa amri ya kaisari Maxentius mwanzoni mwa karne ya 4.

Katerina Wa Aleksandria
Mt. Katerina alivyochorwa na Bernardino Luini (National Art Museum of Azerbaijan).
Katerina Wa Aleksandria
Mchoro wa Artemisia Gentileschi.
Katerina Wa Aleksandria
Mchoro wa Carlo Crivelli.
Katerina Wa Aleksandria
Picha takatifu ya Mt. Katerina wa Aleksandria, na vituko vya kifodini chake.

Kadiri ya mapokeo, alikuwa wa ukoo maarufu tena msomi. Kisha kuongokea Ukristo akiwa na umri wa miaka 14, aliongoza watu mia kadhaa kumfuata katika dini hiyo.

Tangu alipofia dini anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba au 25 Novemba.

Picha

Tazama pia

Tanbihi

Marejeo

  • Allen, Prudence, The concept of woman: the Aristotelian revolution, 750 BC-AD 1250, 1997 (2nd edn.), Wm. B. Eerdmans Publishing, ISBN 978-0-8028-4270-1
  • Walsh, Christine. The Cult of St Katherine of Alexandria in Early Medieval Europe, (Ashgate 2007)

Viungo vya nje

Katerina Wa Aleksandria 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Katerina Wa Aleksandria  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Katerina Wa Aleksandria PichaKaterina Wa Aleksandria Tazama piaKaterina Wa Aleksandria TanbihiKaterina Wa Aleksandria MarejeoKaterina Wa Aleksandria Viungo vya njeKaterina Wa Aleksandria282305AleksandriaAmriBikiraKaisariKarne ya 4KigirikiMaxentiusMisriMkristo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

KihusishiAdolf HitlerSiriBurundiMtume PetroMzeituniShetaniMtandao wa kompyutaKunguruBinadamuLughaSteve MweusiKisononoJumuiya ya Afrika MasharikiWabunge wa Tanzania 2020KilimoMisimu (lugha)Maambukizi ya njia za mkojoAlfabetiElimuNomino za jumlaPunda miliaUgonjwa wa uti wa mgongoLatitudoNdiziVivumishiSikukuu za KenyaMaudhui katika kazi ya kifasihiUsawa (hisabati)Bikira MariaUkwapi na utaoKukiStashahadaMikoa ya TanzaniaLigi Kuu Uingereza (EPL)TawahudiJose ChameleoneUzazi wa mpangoNimoniaUmaskiniUtandawaziPijiniUislamuDubaiKimara (Ubungo)MiundombinuInstagramChuo Kikuu cha Dar es SalaamKiumbehaiNg'ombeMwamba (jiolojia)MahakamaChumba cha Mtoano (2010)Mr. BlueSabatoKataViwakilishi vya kumilikiLeonard MbotelaC++SilabiNgonjeraMsokoto wa watoto wachangaNominoOrodha ya majimbo ya MarekaniMnyoo-matumbo MkubwaOrodha ya makabila ya KenyaMobutu Sese SekoMzabibuLiverpool F.C.Sanaa za maoneshoHadithi za Mtume MuhammadMauaji ya kimbari ya RwandaTendo la ndoaKigoma-UjijiNandyUchaguzi Mkuu wa Tanzania, 2020Madini🡆 More