Uongofu

Uongofu (pia: Wongofu, kutoka kitenzi kuongoa) ni tendo la hiari la mtu la kubadilika upande wa dini au wa madhehebu, lakini pia upande wa maadili ili kuishi vizuri zaidi.

Uamuzi huo unaleta matokeo mengi, pengine makubwa katika maisha ya mhusika na jamii yake. Si wote wanafurahia uamuzi huo, hivyo pengine mtu atapatwa na dhuluma za namna mbalimbali.

Uongofu
Shemasi Sesari akimhimiza mtawala Leonsi kumuamini Yesu huko Terracina, Italia.

Tamko la kimataifa la haki za binadamu (n. 18) linasema: «Kila mmoja ana haki ya kuwa huru katika kuwaza, kufuata dhamiri yake na dini; haki hiyo inajumlisha haki ya kubadili dini au imani, na uhuru katika kujulisha, peke yake au pamoja na wengine, hadharani na katika mahusiano binafsi, dini yake au imani yake katika kufundisha, kutenda, kuabudu na kushika taratibu za ibada

Pengine tendo la kubadilika linatazamwa upande hasi na kuitwa uasi na watu wa dini au madhehebu ambayo mhusika ameachana nayo.

Vilevile juhudi za kuongoa watu kama umisionari zinaweza kutazamwa upande hasi na kupingwa hata na sheria au serikali.

Ndiyo sababu mara nyingine ni vigumu kutekeleza vizuri hiyo haki ya binadamu.

Tanbihi

Marejeo

  • Barker, Eileen The Making of a Moonie: Choice or Brainwashing? (1984)
  • Barrett, D. V. The New Believers: A survey of sects, cults and alternative religions (2001) UK, Cassell & Co ISBN 0-304-35592-5
  • Buckser, A. S. and S. D. Glazier. eds. The Anthropology of Religious Conversion Roman and Littlefield,2003
  • Cooper, Richard S. "The Assessment and Collection of Kharaj Tax in Medieval Egypt" Journal of the American Oriental Society, Vol. 96, No. 3. (Jul–Sep., 1976), pp. 365–382.
  • Curtin, Phillip D. Cross-Cultural Trade in World History. Cambridge University Press, 1984.
  • Hoiberg, Dale, and Indu Ramachandran. Students' Britannica India. Popular Prakashan, 2000.
  • Idris, Gaefar, Sheikh. The Process of Islamization. Plainfield, Ind.: Muslim Students' Association of the U.S. and Canada, 1977. vi, 20 p. Without ISBN
  • James, William, The varieties of religious experience: a study in human nature. Being the Gifford lectures on natural religion delivered at Edinburgh in 1901–1902; Longmans, Green & Co, New York (1902)
  • Morris, Harold C., and Lin M. Morris. "Power and purpose: Correlates to conversion." Psychology: A Journal of Human Behavior, Vol 15(4), Nov–Dec 1978, 15–22.
  • Rambo, Lewis R. Understanding Religious Conversion. Yale University Press, 1993.
  • Rambo, Lewis R., & Farhadian, Charles. Oxford Handbook of Religious Conversion. Oxford University Press, 2014.
  • Ramstedt, Martin. Hinduism in Modern Indonesia: A Minority Religion Between Local, National, and Global Interests. Routledge, 2004.
  • Rawat, Ajay S. StudentMan and Forests: The Khatta and Gujjar Settlements of Sub-Himalayan Tarai. Indus Publishing, 1993.
  •  
  •  
  •  

Viungo vya nje

Uongofu  Makala hii kuhusu mambo ya sheria bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Uongofu kama historia yake au uhusiano wake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

DhulumaDiniHiariJamiiKitenziMaadiliMadhehebuMaishaMtu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Agano la KaleHistoria ya uandishi wa QuraniKukuBloguCristiano RonaldoMwana FAOrodha ya viongoziJava (lugha ya programu)Tungo sentensiMkwawaKhalifaMivighaAgano JipyaTupac ShakurVielezi vya idadiMafurikoWasukumaWingu (mtandao)Vivumishi vya idadiHistoria ya KanisaTreniKiongoziOrodha ya miji ya TanzaniaAzimio la ArushaKipazasautiMishipa ya damuHerufiKanisaMatiniUshairiFisiKigoma-UjijiTiktokMuhammadDunia25 ApriliHistoria ya IranKamusi ya Kiswahili sanifuNafsiMuhimbiliVisakaleViwakilishi vya pekeeMimba za utotoniGongolambotoUongoziAfrika ya MasharikiSodomaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaTabianchiMapinduzi ya ZanzibarFonolojiaUrusiJoyce Lazaro NdalichakoLakabuMkoa wa NjombeMfumo wa upumuajiJinaVitenzi vishirikishi vikamilifuUyahudiMkoa wa PwaniTashihisiMkoa wa Unguja Mjini MagharibiOrodha ya mito nchini TanzaniaKichecheKiwakilishi nafsiKamusi Hai ya Kiswahili MtandaoniKabilaRohoWayback MachineWanyama wa nyumbaniOrodha ya milima mirefu dunianiAlomofuOrodha ya majimbo ya Marekani🡆 More