Henri Matisse (31 Desemba 1869 – 3 Novemba 1954) alikuwa msanii kutoka nchini Ufaransa.
Alifanya kazi za kuchonga na kuchapisha lakini amejulikana hasa kama mchoraji.
Alipendwa kwa namna jinsi alivyotumia rangi katika picha zake.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Henri Matisse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Henri Matisse, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.