HIStory: Past, Present and Future, Book I (kikawaida hufupishwa HIStory) ni albamu mbili za Michael Jackson, zilizotolewa mnamo tar.
20 Juni 1995, na ni albamu ya tisa ya Jackson. CD ya kwanza, iliitwa "HIStory Begins" ambayo imekusanya vibao vyake vikali vya miaka kumi na tano iliyopita, wakati ya pili, iliitwa "HIStory Continues" imekuja na nyimbo mpya, moja wapo ni "Come Together", ambayo ilirekodiwa mwaka wa 1987.
HIStory: Past, Present and Future, Book I | |||||
---|---|---|---|---|---|
Studio album / compilation album ya Michael Jackson | |||||
Imetolewa | 20 Juni 1995 | ||||
Imerekodiwa | 1978–1995 | ||||
Aina | R&B, dance, dance-pop, urban, Pop rock, new jack swing, funk | ||||
Urefu | 148:45 | ||||
Lebo | Epic EK-59000 | ||||
Mtayarishaji | Michael Jackson, James Harris, Janet Jackson, Terry Lewis, Dallas Austin, David Foster, Bill Bottrell, R. Kelly, Teddy Riley | ||||
Tahakiki za kitaalamu | |||||
Wendo wa albamu za Michael Jackson | |||||
| |||||
Single za kutoka katika albamu ya HIStory | |||||
|
HIStory imetajwa kuwa ni toleo la albamu-mbili-mbili lililoza vizuri kuliko zote, ikiwa na hesabu ya mauzo ya nakala milioni 20 kwa hesabu ya dunia nzima (na milioni 40 kwa hesabu ya moja-moja). Albamu pia imeshinda tuzo moja ya Grammy kwa ajili ya video ya — "Scream." CD ya kwanza ya vibao vyake vikali ilitolewa mnamo mwaka wa 2001 ikiwa kama CD moja na ilikwenda kwa jina la Greatest Hits: HIStory, Vol. 1.
Chati | Nafasi Iliyoshika | Matunukio | Mauzo/Nchi za nje |
---|---|---|---|
Argentina | Platinum | 200,000 | |
Australia | 1 | 7× platinum | 490,000 |
Austria | 2 | 2× platinum | 80,000 |
Belgium | 1 | ||
Canada | 5× platinum | 500,000 | |
Europe | 6× platinum | 6 million | |
Finland | 3 | Platinum | 61,352 |
France | 1 | Diamond | 1 million |
Germany | 1 | 3× platinum | 1.5 million |
Netherlands | 1 | 3× platinum | 240,000 |
New Zealand | 1 | 10× platinum | 150,000 |
Norway | 1 | Platinum | 40,000 |
Sweden | 3 | Platinum | 60,000 |
Switzerland | 1 | 3× platinum | 150,000 |
United Kingdom | 1 | 4× platinum | 1.2 million |
United States | 1 | 7× platinum | 3.5 million |
Nyimbo zote zimetungwa na Michael Jackson, kasoro zile zilizowekwa maelezo;
Nyimbo zote zimetungwa na Michael Jackson, kasoro zile zilizowekwa maelezo;
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu HIStory: Past, Present and Future, Book I kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article HIStory: Past, Present and Future, Book I, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.