Billboard 200

Billboard 200 ni safu ya kutaja albamu za muziki na ma-EP 200 zenye-mauzoya juu huko nchini Marekani.

Safu hii huchapishwa kila wiki na jarida la Billboard. Mara kwa mara hutumiwa kufikisha au kutoa habari za umaarufu wa msanii au kundi la wasanii. Mara kwa mara, rekodi bora itakumbukwa kwa kufika kwake katika "nafasi ya kwanza", hizo albamu zao ambazo zimeuza zaidi kuliko nyingine angalau katika wiki moja.

Chati hii imeegemea sana upande mmoja tu wa mauzo (mauzo ya rejareja na yale ya dijitali) ya albamu huko nchini Marekani. Mauzo ya nyimbo yanaanza siku ya Jumatatu na kuishia Jumapili. Chati mpya inachapishwa kwa Alhamis inayofuata ikiwa na tarehe ya toleo lijalo la Jumamosi.

    Mfano:
      Jumatatu 1 Januari — wiki ya mauzo ya nyimbo yanaanza
      Jumapili 7 Januari — wiki ya mauzo ya nyimbo yanaisha
      Alhamisi 11 Januari — chati mpya zinachapishwa, ikiwa pamoja na tarehe ya toleo la Jumamosi tar. 20 Januari.

Viungo vya Nje

Tags:

AlbamuBillboardMarekani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Moses KulolaBahashaMkoa wa KigomaUbaleheKiswahiliBikira MariaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziElimuManispaaMashuke (kundinyota)UjimaShangaziMkoa wa PwaniRufiji (mto)Mitume wa YesuShikamooAli Hassan MwinyiWema SepetuViwakilishi vya pekeevvjndUlayaKamusi za KiswahiliOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaUmememajiHoma ya matumboSanaa za maoneshoRohoUjerumaniOrodha ya Magavana wa TanganyikaAustraliaUislamuPalestinaAfrika Mashariki 1800-1845DiniChama cha MapinduziUbadilishaji msimboMshubiriMkutano wa Berlin wa 1885Usafi wa mazingiraMasafa ya mawimbiNathariUrusiDaudi (Biblia)SitiariKutoa taka za mwiliIkwetaUkatiliMaji kujaa na kupwaCristiano RonaldoSomo la UchumiMkoa wa SimiyuKidole cha kati cha kandoMasharikiKupatwa kwa JuaUshairiKitenzi kishirikishiRedioMkoa wa KageraMeta PlatformsUtumwaPijiniMisimu (lugha)Orodha ya wanamuziki wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMajira ya mvuaMohamed HusseinOrodha ya kampuni za TanzaniaPijini na krioliAsidiAmina Chifupa🡆 More