Albamu Ya Michael Jackson Invincible

Invincible ni jina la kutaja albamu ya kumi ya mwimbaji, mwanamuziki, mtayarishaji wa rekodi, mfanyabishara, na mhisani wa Kimarekani, Michael Jackson.

Albamu ilitolewa na studio ya Epic Records mnamo tar. 30 Oktoba 2001, miaka sita tangu kutolewa kwa albamu yake ya 1995 yenye matoleo mawili kwa pamoja, HIStory. Albamu hii imeingiza nyimbo mpya tu tangu kutolewa kwa albamu ya Dangerous mnamo mwaka wa 1991. Kasha la aalbamu, lina picha ya sura ya Jackson, inapatika katika rangi tano tofauti - nyekundu, kijani, chungwa, buluu na fedha. Hadi leo, albamu imekadiriwa kuuza kati ya nakala milioni 8 - 12 kwa hesabu ya dunia nzima.

Invincible
Invincible Cover
Studio album ya Michael Jackson
Imetolewa 30 Oktoba 2001
Imerekodiwa Oktoba 1997 – Juni 2001
Aina Contemporary R&B, pop/rock, dance-pop, adult contemporary, urban
Urefu 77:08
Lebo Epic Records
EK-69400
Mtayarishaji Michael Jackson, Rodney Jerkins, Teddy Riley, Kenneth "Babyface" Edmonds, R. Kelly, Dr. Freeze
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Michael Jackson
HIStory
(1995)
Invincible
(2001)
Single za kutoka katika albamu ya Invincible
  1. "You Rock My World"
    Imetolewa: 11 Oktoba 2001
  2. "Cry"
    Imetolewa: 3 Desemba 2001
  3. "Butterflies"
    Imetolewa: 8 Novemba 2001 (promo)


Matayarisho

Albamu imekuwa ya kwanza kutoa nyimbo zoote mpya tangu kutolewa kwa albamu ya Dangerous ya mwaka wa 1991. Katika upande wa utayarishaji ulishikiriwa na wasanii kadhaa kama vile Rodney Jerkins, R. Kelly na mwanachama wa zamani wa kundi la muziki wa R&B la Jodeci, DeVante Swing. Mtayarishaji wa hip hop Dr. Dre naye aliombwa atayarishe albamu, lakini alikataa.

Orodha ya nyimbo

Invincible
# JinaMtunzi (wa) Urefu
1. "Unbreakable" (Akimshirikisha The Notorious B.I.G.; sauti za nyuma zimefanywa na Brandy Norwood)Jackson, Daniels, Jerkis, Payne, Smith, Wallace 6:26
2. "Heartbreaker"  Jackson, Jerkins, Jerkins III, Daniels, Mischke, Gregg 5:09
3. "Invincible"  Jackson, Daniels, Gregg, Jerkins, Jerkins 4:46
4. "Break of Dawn"  Jackson, Dr. Freeze 5:32
5. "Heaven Can Wait"  Jackson, Riley, Heard, Smith, Beal, Laues, Quiller 4:49
6. "You Rock My World" (Introductory skit featuring Chris Tucker)Jackson, Daniels, Jerkins, Jerkins, Payne 5:39
7. "Butterflies" (Akimshirikisha Marsha Ambrosius)Harris, Ambrosius 4:40
8. "Speechless"  Jackson 3:18
9. "2000 Watts"  Jackson, Riley, Gibson, Henson 4:24
10. "You Are My Life"  Jackson, Babyface, Sager, McClain 4:33
11. "Privacy"  Jackson, Belle, Daniels, Jerkins, Jerkins 5:05
12. "Don't Walk Away"  Jackson, Riley, Stites, Vertelney 4:24
13. "Cry" (Cry pia uliitwa (We Can Change The World))R. Kelly 5:00
14. "The Lost Children"  Jackson 4:00
15. "Whatever Happens" (Gitaa na Carlos Santana)Jackson, Riley, Quay, Williams 4:56
16. "Threatened" (contains snippets from Rod Serling)Jackson, Jerkins, Jerkins III, Daniels 4:18
77:08

Chati zake

Chati (2001/2002) Nafasi
iliyoshika
Matunukio Mauzo/Upelekaji wa nchi za nje
Australian Albums Chart 1 2x Platinum 140,000
Austrian Albums Chart 2 Gold 20,000
Canadian Top 50 3 Uncertified <50,000
Danish Albums Chart 1 Gold 25,000
Dutch Albums Chart 1 Platinum 80,000
Finnish Albums Chart 7 Gold 16,621
French Albums Chart 1 2x Platinum 575,000
German Albums Chart 1 Platinum 300,000
Japanese Albums Chart 5 Platinum 200,000
Norwegian Albums Chart 1 Platinum 50,000
Portuguese Albums Chart 8 Gold 20,000
Swedish Albums Chart 1 Gold 40,000
Turkish Albums Chart 1 Platinum 120,000
U.S. Billboard 200 1 2x Platinum 9,100,000
UK Albums Chart 1 Platinum 350,000

Marejeo

Vyanzo zaidi


Tags:

Albamu Ya Michael Jackson Invincible MatayarishoAlbamu Ya Michael Jackson Invincible Orodha ya nyimboAlbamu Ya Michael Jackson Invincible Chati zakeAlbamu Ya Michael Jackson Invincible MarejeoAlbamu Ya Michael Jackson Invincible Vyanzo zaidiAlbamu Ya Michael Jackson InvincibleDangerous (albamu)HIStoryMarekaniMichael JacksonMtayarishaji wa rekodiMwanamuzikiMwimbaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

PasifikiVivumishi vya urejeshiMaishaIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)WahaUkristo nchini TanzaniaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaNdoa katika UislamuJay MelodyKinyongaShangaziGoba (Ubungo)Orodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaBunge la TanzaniaMkoa wa MbeyaWaziriBenjamin MkapaKishazi huruSheriaJamhuri ya Watu wa ZanzibarOrodha ya nchi za AfrikaMkoa wa MorogoroAgano JipyaHektariHoma ya matumboPichaKanisaNetiboliWikipediaMuda sanifu wa duniaPamboBahashaLuhaga Joelson MpinaBendera ya TanzaniaWilaya ya UbungoBendera ya KenyaSemiHistoria ya AfrikaNgw'anamalundiKenyaWaluguruNamba za simu TanzaniaTiktokTume ya Taifa ya UchaguziDaudi (Biblia)UbongoKanga (ndege)UjerumaniTungo kishaziMkoa wa LindiHaki za watotoSomo la UchumiPasakaDhamiraMkwawaNileFasihi simuliziMwanamkeMlima wa MezaWanyamaporiKomaSwalaUchawiMapenzi ya jinsia mojaUfugaji wa kukuMuundo wa inshaHistoriaNguzo tano za UislamuUsawa (hisabati)ViwakilishiBikiraOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaJinaUkwapi na utaoNduni🡆 More