Rolling Stone ni gazeti la habari za tamaduni mashuhuri kutoka nchini Marekani.
Inajishuhulisha sana na makala kuhusu muziki, na vilevile michezo, filamu, na watu maarufu. Pia inajishughulisha na filamu zilizofanya vizuri na ripoti ya mapokeo za muziki, yaani inatoa orodha ya "wasanii wakali/albamu kali za karne", na maoni na majadiliano ya kisiasa.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rolling Stone kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Rolling Stone, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.