Billie Jean

Billie Jean ni wimbo wa dance-pop R&B wa msanii Michael Jackson.

Wimbo huu ulitungwa na Jackson na kutayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita Thriller (1982). Yenyewe haikupendwa na Jones, wimbo huu almanusura itolewe kwenye albamu baada ya yeye na Jackson kuwa na malumbano kadhaa.

“Billie Jean”
“Billie Jean” cover
Single ya Michael Jackson
kutoka katika albamu ya Thriller
B-side "It's the Falling in Love" / "Can't Get Outta the Rain"
Imetolewa 2 Januari 1983
Muundo 7" single
Imerekodiwa 1982
Aina Dance-pop, R&B, Funk
Urefu 4:54
Studio Epic Records
Mtayarishaji Quincy Jones
Mwenendo wa single za Michael Jackson
"The Girl Is Mine"
(1982)
"Billie Jean"
(1983)
"Beat It"
(1983)

Mashairi yaliyomo yanahusu maisha halisi ya binadamu, ambamo inazungumzia mwanamke mmoja mgonjwa wa kichaa anayedai kwamba Jackson amezaa naye watoto pacha.

Wimbo unajulikana sana kwa besi lake na staili ya sauti ya Jackson. Wimbo huu ulimwezesha Michael kuzidi kuwa maarufu hasa pale alipokuwa akiuimba moja kwa moja jukwaani akiutumia mtindo wa kucheza huku akirudi nyuma nyuma kwa kutumia miguu yake pasipo kuanguka. Kwa lugha ya Kiingereza mtindo huu unafahamika kama Moon Walker. Wachezaji wengi wa muziki duniani wanautumia mtindo huu wa dansi katika maonesho mbalimbali ya kimuziki majukwaani.

Chati

Chati (1983) Nafasi
iliyoshika
Austrian Singles Chart 2
French Singles Chart 45
German Singles Chart 2
Irish Singles Chart 1
Italian Singles Chart 7
Netherlands Singles Chart 4
Norwegian Singles Chart 6
Spanish Singles Chart 1
Swedish Singles Chart 2
Swiss Singles Chart 1
UK Singles Chart 1
US Billboard Hot 100 1
US R&B Singles Chart 1
Chati (2009) Nafasi
iliyoshika
Australian Singles Chart 7
Austrian Singles Chart 15
Danish Singles Chart 9
Dutch Singles Chart 21
Finnish Singles Chart 11
Irish Singles Chart 11
Italian Singles Chart 5
New Zealand Singles Chart 15
Norwegian Singles Chart 5
Turkey Top 20 Chart 9
UK Singles Chart 10
U.S. Billboard Hot Digital Songs 4

Matunukio

Nchi Matunukio Mauzo
New Zealand Gold 7,500

Maelezo

Marejeo

  • Campbell, Lisa (1993). Michael Jackson: The King of Pop. Branden. ISBN 082831957X. 
  • George, Nelson (2004). Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet. Sony BMG.
  • Halstead, Craig (2007). Michael Jackson: For the Record. Authors OnLine. ISBN 978-0-7552-0267-6. 
  • Jackson, Michael (1988). Moon Walk. Doubleday. ISBN 0385247125. 
  • Taraborrelli, J. Randy (2004). The Magic and the Madness. Terra Alta, WV: Headline. ISBN 0-330-42005-4. 
  • Thriller 25: The Book (2008). Thriller 25: The Book. ML Publishing Group. ISBN 978-0-9768891-9-9. 
  • Wadhams, Wayne (2001). Inside the Hits. Berklee Press. ISBN 0634014307. 
Billie Jean  Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Billie Jean kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Billie Jean ChatiBillie Jean MaelezoBillie Jean MarejeoBillie Jean1982AlbamuMichael JacksonMsaniiQuincy JonesR&BSitaThriller (albamu)Wimbo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kitenzi elekeziRaiaNyegereWataru EndoViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Kiambishi tamatiLafudhiMaliasiliKishazi huruUjamaaViwakilishi vya urejeshiWajitaMbooJoziYesuIsimuNguzo tano za UislamuKanadaSautiNungununguMaradhi ya zinaaKamusi za KiswahiliSeduce MeMohamed HusseinAndalio la somoMaudhuiTabainiAzimio la ArushaBBC NewsOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaTamathali za semiKiambishiMajira ya baridiKadi za mialikoNziUtegemezi wa dawa za kulevyaYordaniWaluguruChuo Kikuu cha DodomaUandishiWazaramoUandishi wa ripotiMkondo wa umemeHistoria ya WapareHekalu la YerusalemuOrodha ya Marais wa NamibiaViwakilishi vya sifaJumba la MakumbushoUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiAthari za muda mrefu za pombeUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUsafi wa mazingiraKinyonga (kundinyota)Pembe za ndovuLahaja za KiswahiliUandishi wa inshaElimu ya watu wazimaSteven KanumbaMaudhui katika kazi ya kifasihiHussein Ali MwinyiMagharibiMbaazi (mmea)HerufiMlongeIstilahiMsikitiMkoa wa SimiyuMkonoJamhuri ya Watu wa ChinaBarabara nchini TanzaniaHaki za binadamuNgono zembeMapambano kati ya Israeli na Palestina🡆 More