Mlima Everest

27°59′17″N 86°55′31″E / 27.98806°N 86.92528°E / 27.98806; 86.92528

Mlima Everest
Mlima Everest
Mlima Everest
Mlima Everest na theluji

Mlima Everest ni mlima mkubwa kabisa duniani, wenye kimo cha m 8,848 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Kilele chake kipo katika mpaka wa Nepal na China (Tibet).

Watu wa kwanza wa kufika kwenye kilele walikuwa Edmund Hillary wa New Zealand na sherpa Tenzing Norgay wa Nepal tarehe 29 Mei 1953.

Jina

Wenyeji upande wa Nepal huuita mlima "Sagarmatha" (सगरमाथा, Mungu mama wa anga) na majirani upande wa Tibet huuita "Qomolangma" ("Mama wa dunia").

Wazungu waliokuwa wa kwanza wa kuchora ramani ya sehemu zile wakauita mwaka 1852 "Mlima XV“. Jina la Everest lilianza kutumiwa na Waingereza tangu mwaka 1865 kwa heshima ya Sir George Everest aliyekuwa mpimaji mkuu wa ramani wa Uingereza kwa sababu alikuwa ameonyesha bidii kubwa katika upimaji wa Uhindi wa Kiingereza.

Mlima Everest  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Everest (mlima) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Basilika la Mt. PauloMwanzoTashtitiViunganishiMjombaNyangumiAntibiotikiTabataUmoja wa AfrikaUturukiNevaVita Kuu ya Kwanza ya DuniaTrilioniMajira ya baridiVitenzi vishiriki vipungufuMkoa wa RuvumaUyahudiKorea KusiniLilithSaharaMapambano ya uhuru TanganyikaMapinduzi ya ZanzibarNembo ya TanzaniaDumaSamakiJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoYesuKamusiAgano JipyaTungoTarafaShinaJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaUfahamuKishazi tegemezi2 AgostiUgandaUgonjwa wa kupoozaHistoria ya UislamuOrodha ya milima mirefu dunianiMwaka wa KanisaOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiLongitudoMendeWayao (Tanzania)OsimosisiMajina ya Yesu katika Agano JipyaHoma ya mafuaChuraMasharikiKinembe (anatomia)NdoaNileTaswira katika fasihiBarua rasmiFalsafaOrodha ya nchi za AfrikaUtenzi wa inkishafiAsiliHistoria ya AfrikaSanaa za maoneshoAshokaAthari za muda mrefu za pombeMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaVielezi vya idadiUbatizoGhanaMadhara ya kuvuta sigaraFani (fasihi)🡆 More