Usawa Bahari Wastani

Usawa wa wastani wa maji ya bahari hutumika kama kipimo cha kulinganisha kimo cha mahali duniani toka usawa wa bahari.

Hali halisi usawa wa bahari hubadilika kati ya mahali na mahali na muda hadi muda. Kwa hiyo kuna kadirio la wastani wa vipimo hivyo inayotumika kuwa usawa bahari wastani.

Kawaida hutumika katika sentensi kama: "Nairobi iko mita 1644 juu ya usawa wa bahari." Au: "Ndege inasafiri mita 11.000 juu ya usawa wa bahari" Kifupi chake: UB

Usawa Bahari Wastani Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

BahariDunianiKimoKipimoUsawa wa bahari

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MaliasiliWikipediaSimbaMtaalaBarua pepeChuiMisemoMuungano wa Madola ya AfrikaUmemeItikadiHoma ya manjanoAli Hassan MwinyiMaudhuiOrodha ya Watakatifu wa AfrikaStashahadaBenjamin MkapaKiarabuTetemeko la ardhiUkanda wa GazaMizimuHussein KaziMkoa wa SimiyuUfugaji wa kukuHuduma ya ujumbe mfupiMkoa wa DodomaKibu DenisWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMtotoUislamuAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMeta PlatformsMwanamkeUgonjwaLugha rasmiUandishiMaeneo ya Kihistoria ya Kitaifa ya TanzaniaWapogoloDayolojiaVivumishi vya idadiNuktambiliNetiboliHoma ya iniKengeFalsafaHistoria ya TanzaniaZama za ChumaOrodha ya milima mirefu dunianiLady Jay DeeWiki FoundationNamba za simu TanzaniaUgonjwa wa kuharaPesaUsafi wa mazingiraWenguKiraiUyogaShinikizo la juu la damuVivumishi vya jina kwa jinaTiktokMaktabaSautiVitendawiliDamuKarafuuSanaaAgano JipyaKhadija KopaMillard AyoMsamiatiUkoloniNominoTungo kiraiMusa🡆 More