Tenzing Norgay

Tenzing Norgay (Mei 1914 – 9 Mei 1986) alikuwa sherpa kutoka nchi ya Nepal aliyekuwa pamoja na Edmund Hillary mtu wa kwanza kukanyaga kilele cha Mlima Everest tarehe 29 Mei 1953.

Tenzing Norgay
Tenzing Norgay

Maisha

Alikuwa mtoto wa wakulima maskini aliyezaliwa wakati wa kuhiji kwa wazazi wake huko Tibet.

Akiwa kijana alianza kazi ya kuongoza watalii na wapanda milima jinsi walivyofanya wanaume wengi wa kabila lake.

Akiongozana na misafara kwenye milima ya Himalaya tangu mwaka 1935 alijaribu mara kadhaa kupanda mlima Everest bila kufaulu.

Mwishowe akiongozana na Edmund Hillary walifika kwenye kilele katika msafara wa Mei 1953.

Kwa miaka mingi watu kutoka Asia na Ulaya walivutana kuhusu swali kama Tenzing au Hillary alikuwa mtu wa kwanza wa kufika kileleni. Wote wawili wakiwa marafiki wakajibu ya kwamba walifika pamoja bila kubagua nani alikuwa mbele hatua chache.

Baadaye mwana na mjukuu wa Tenzing walifika pia kwenye kilele cha Everest.

Tenzing Norgay  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tenzing Norgay kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

19141953198629 Mei9 MeiEdmund HillaryKileleMeiMlima EverestMtuNepalTarehe

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

SitiariBenderaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaNgamiaOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaIntanetiUKUTAVielezi vya mahaliMagharibiBinadamuDar es SalaamSayariSerikaliOrodha ya kampuni za TanzaniaShairiTovutiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziSaidi NtibazonkizaMaghaniMzabibuMtumbwiTenzi tatu za kaleUpinde wa mvuaRitifaaMaudhui katika kazi ya kifasihiWilaya za TanzaniaVokaliStashahadaPijini na krioliMofimuDalufnin (kundinyota)Nguzo tano za UislamuJamhuri ya Watu wa ChinaGeorDavieKanisaDiniTanganyikaHussein Ali MwinyiOrodha ya Marais wa KenyaHisiaWilaya ya UbungoKamusi za KiswahiliNusuirabuKutoka (Biblia)Viwakilishi vya kumilikiKiambishi tamatiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMkoa wa RukwaWakingaMvuaNduniBongo FlavaMuhammadShangaziC++LahajaWahadzabeKishazi tegemeziJuxFasihi simuliziSinagogiMwenge wa UhuruUkabailaStadi za maishaAgano JipyaDawa za mfadhaikoLafudhiViwakilishi vya kuoneshaKilimoIsraeli ya Kale🡆 More