Fisi madoa ni mmoja wa spishi za fisi ambao ni wanyama wanaokula mizoga yaani wanyama waliokufa au walioachwa na wanyama wala nyama, kwa mfano simba au chui.
Fisi madoa | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Fisi madoa katika Kasoko ya Ngorongoro | ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Msambao wa fisi madoa |
Fisi madoa pia ni wawindaji wazuri ambao wanaweza kujitafutia kitoweo chao wenyewe badala tu ya kutegemea mizoga.
Mbali na kula nyama, fisi madoa pia hula ndege, mijusi na wadudu.
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Fisi madoa kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Fisi madoa, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.