Antioko Epifane

Antioko IV wa Syria alijiita Epifane (kwa Kigiriki Ἀντίοχος Ἐπιφανής) akitaka kujitambulisha kama tokeo la mungu mmojawapo.

Lakini watu walimuita Epimane, yaani kichaa, kutokana na madai yake yasiyo na kiasi.

Antioko Epifane
Sanamu ya Antioko IV kwenye Altes Museum huko Berlin (Ujerumani).

Aliishi miaka 215 KK164 KK akitawala dola la Waseleuki kuanzia mwaka 175 KK hadi kifo chake.

Juhudi zake za kueneza ustaarabu wa Ugiriki wa kale kati ya Wayahudi zilishindwa na Wamakabayo waliopigania uhuru wa dini kama inavyosimuliwa katika kitabu cha kwanza cha Wamakabayo na kitabu cha pili cha Wamakabayo (ambavyo ni kati ya Deuterokanoni).


Antioko Epifane
Mina ya Antioko IV Epifane.

Viungo vya nje

Tags:

KiasiKichaaKigirikiMungu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

DemokrasiaKatekisimu ya Kanisa KatolikiMahakamaPichaUkimwiKanisa KatolikiChe GuevaraMkoa wa GifuLigi ya Mabingwa AfrikaMwanzoHektariKizigulaManiiKishazi tegemeziJumuiya ya MadolaMadawa ya kulevyaPumuMitishambaYesuWashambaaTanganyika African National UnionMaana ya maishaMwanamkeUkatiliBiasharaAkili ya binadamuRamaniKupatwa kwa JuaZuhura YunusAzimio la ArushaUtajiriBonde la Ufa la Afrika ya MasharikiHafidh AmeirAdamuAfrika ya MasharikiMaradhi ya zinaaJeraha la motoJinsiaHomoniKunguniMkoa wa MorogoroUmaskiniNomino za dhahaniaNairobiKorea KusiniReal MadridNyegereSheriaOrodha ya nchi za AfrikaMamaJakaya KikweteKorea KaskaziniMungu ibariki AfrikaUvimbe wa sikioManchester United F.C.Athari za muda mrefu za pombeFonolojiaIsharaMkoa wa TangaDolar ya MarekaniSumakuBakari Nondo MwamnyetoFamilia ya Jakaya KikweteYouTubeSentensiMziziMamlakaRupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniKifua kikuuUingerezaAlama ya barabaraniJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaMadini🡆 More