António Guterres

Antonio Manuel de Oliveira Guterres (alizaliwa 30 Aprili 1949) ni mwanasiasa wa Ureno ambaye anatumikia kama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa tangu mwaka 2017.

Hapo awali, alikuwa Kamishna wa Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kati ya 2005 na 2015.

António Guterres
Antonio Guterres (2019)

Guterres alikuwa Waziri Mkuu wa Ureno kutoka 1995 hadi 2002 na alikuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Kisoshalistu cha Ureano kutoka 1992 hadi 2002. Alihudumu kama Rais wa Umoja wa Vyama vya Kisoshalisti Duniani kutoka 1999 hadi 2005.

Katika kura ya kupima mawazo kwenye miaka 2012 na 2014 wananchi wengi wa Ureno walimtaja mara mbili alikuwa waziri mkuu bora wa nchi hii anayekumbukwa.

Viungo vya Nje

António Guterres 
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
António Guterres 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tags:

1949201730 ApriliKamishnaKatibu Mkuu wa Umoja wa MataifaMwakaMwanasiasaShirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia WakimbiziUreno

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ligi Kuu Tanzania BaraFani (fasihi)Msalaba wa YesuShikamooKifua kikuuWiki FoundationNgw'anamalundiUandishi wa inshaKalenda ya KiyahudiOrodha ya programu za simu za WikipediaMkoa wa MaraWamandinkaKuhani mkuuKalenda ya mweziJoseph Leonard HauleHaki za binadamuVivumishi vya kumilikiMoyoZakaKontuaTreniAfrikaKisasiliKiumbehaiMagonjwa ya kukuWanyama wa nyumbaniHadhiraOrodha ya Maspika wa Bunge la TanzaniaAHistoria ya WasanguMashariki ya KatiNeemaSkeliAdolf HitlerArudhiJiniSomo la UchumiRihannaMwakaMbuSintaksiInstagramOrodha ya Marais wa MarekaniMusuliMahakama ya TanzaniaAlomofuJumaKombe la Dunia la FIFABaraza la mawaziri TanzaniaMusaChuo Kikuu cha Dar es SalaamRose MhandoUnyevuangaViwakilishi vya urejeshiDamuJumuiya ya Maendeleo Kusini mwa AfrikaEe Mungu Nguvu YetuAfrika ya Mashariki ya KijerumaniMtende (mti)KiarabuKibodiKitenzi kikuuOrodha ya miji ya TanzaniaTamathali za semiMweziMongoliaTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaMatendeWasafwaDhima ya fasihi katika maishaOrodha ya nchi za AfrikaChatGPTOrodha ya MiakaMaji kujaa na kupwaMikoa ya TanzaniaHekaya za AbunuwasiMethali🡆 More