Agrisi Wa Trier

Agrisi wa Trier (kwa Kilatini: Agricius au Agritius; 260 hivi - Trier, leo nchini Ujerumani, 329/335) alikuwa askofu wa kwanza kujulikana kwa hakika wa mji huo kwa kuwa alishiriki Mtaguso wa Arles mwaka 314.

Agrisi Wa Trier
Mt. Agrisi.

Aligeuza ikulu, iliyotolewa na malkia Helena, kuwa kanisa.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 13 Januari au 19 Januari.

Tazama pia

Tanbihi

Agrisi Wa Trier  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

260314329335AskofuKilatiniMjiMwakaTrierUjerumani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

AbrahamuJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoBaraHektariUpendoUsultani wa ZanzibarKiambishi awaliKorea KusiniShinikizo la juu la damuMendeDhambiOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaWenguMtakatifu PauloNafsiHifadhi ya mazingiraRihannaSakramentiLucky DubeMsibaKisasiliBungeKamusi za KiswahiliRobin WilliamsKitenzi kishirikishiUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaHadhiraSilabiWilaya ya KilindiClatous ChamaMuungano wa Tanganyika na ZanzibarMtandao wa kompyutaUkristoUgaidiUtafitiKarne ya 18Mkoa wa RuvumaUyahudiDhima ya fasihi katika maishaUfaransaAfrika KusiniSaida KaroliMnururishoEe Mungu Nguvu YetuDamuLionel MessiWiki FoundationKombe la Mataifa ya AfrikaUgonjwa wa kuharaUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereKunguniFasihi andishiJogooJacob StephenUtenzi wa inkishafiMkoa wa KigomaWashambaaMamaWamasaiKitovuAmri KumiOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaChelsea F.C.UpepoKitabu cha ZaburiKairoKinembe (anatomia)Orodha ya miji ya MarekaniTaasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa ya TanzaniaAgano la KaleFonetikiUzazi wa mpango kwa njia asiliaJamhuri ya Watu wa ZanzibarHoma ya dengi🡆 More