Zumaridi (kutoka neno la Kiajemi; kwa Kiingereza: emerald) ni kito adimu chenye rangi ya kijani kilichokoza na thamani kubwa.
Inatumiwa kwa mapambo ya kila aina.
Kikemia ni umbo la fuwele la madini ya berili. Ugumu wake kwenye skeli ya Mohs ni 7.5–8.
Zumaridi katika vitabu mbalimbali vya Biblia ina maana ya madini yenye thamani kubwa (k.mf. kitabu cha Ufunuo 4:3).
Kutokana na thamani yake Mungu amempa jina hilo mtumishi wake wa agano la mwisho yaani agano la saba.
Makala hii kuhusu mambo ya kemia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Zumaridi kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Zumaridi, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.