Wiki Ya Kijapani

Wiki ya Kijapani (Kijapani: ウィキペディア日本語版 au Wikipedia Nihongo-ban|tafsiri Wikipedia: Toleo la lugha ya Kijapan) ni toleo la kamusi elezo ya Wikipedia kwa lugha ya Kijapani.

Na kwa tar. 25 Juni ya mwaka wa 2008, Wikipedia ya Kijapani imefikisha zaidi ya makala 500,000, na kuifanya iwe toleo la Wikipedia ya tano kwa ukubwa baada ya Kiingereza, Kijerumani, Kifaransa na Kipoland.

Wiki ya Kijapani
Wikipedia Ya Kijapani

Wiki hii ilianzishwa mnamo mwezi wa Septemba ya mwaka wa 2002, na kunako mwezi wa Aprili katika mwaka wa 2006, ilifikisha makala 200,000 na kwa mwezi wa Juni katika mwaka wa 2008, ikafikisha makala 500,000. Hii ni Wikipedia kubwa kwa upande wa lugha ambazo si za Lugha za Ulaya, na ya pili kwa ukubwa ni ile Wikipedia ya Kichina.

Marejeo

Viungo vya nje

Wikipedia Ya Kijapani 
Wiki
Wikipedia ya Kijapani ni toleo la Wiki, kamusi elezo huru
Wikipedia Ya Kijapani  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Wiki ya Kijapani kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

25 JuniKamusi elezoKijapaniWikipediaWikipedia ya KifaransaWikipedia ya KiingerezaWikipedia ya KijerumaniWikipedia ya Kipoland

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MandhariJay MelodyAina za manenoKubaUkweliNduniJoziKipandausoTafsiriNg'ombeMavaziMalengo ya Kiswahili kuwa lugha ya taifaHistoria ya Kanisa KatolikiMkoa wa MaraIsha RamadhaniSaidi Salim BakhresaVivumishiOrodha ya Marais wa UgandaKiboko (mnyama)Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaRushwaMajeshi ya Ulinzi ya KenyaGeorDavieZana za kilimoBara la AntaktikiMbuga wa safariTreniUkristoJumba la MakumbushoLady Jay DeeSteven KanumbaMtakatifu MarkoPumuFamiliaWaluguruMuungano wa Madola ya AfrikaKadhiMshororoHasiraBendera ya KenyaVielezi vya idadiMkoa wa Dar es SalaamSimbaHistoria ya Wapare26 ApriliUtoaji mimbaUandishiUshairiNadhariaKilimanjaro (volkeno)Maajabu ya duniaDaktariSanaaPaka-kayaUmoja wa MataifaMaziwa ya mamaNyotaAmri KumiMwanzoJumuiya ya MadolaTabiaAdhuhuriKukuMbeya (mji)TundaHifadhi ya SerengetiManchester CityMuhammadViwakilishiSeli nyekundu za damuKishazi tegemezi🡆 More