mwongozo

Wiki ni kamusi elezo katika intaneti inayojengwa na jumuiya ya washiriki nawe unaweza kuchangia.

Utangulizi   Kuhariri   Kuanzisha Makala   Muundo   Viungo vya Wiki   Kutaja vyanzo   Kurasa za majadiliano   Kumbuka   Kujisajili    

Mwongozo wa kuhariri Wikipedia – Utangulizi

Mwongozo huu utakusaidia kuwa mchangiaji wa Wiki Kiswahili.

Kurasa zifuatazo zitakupa mwongozo kuhusu mtindo na makala za Wikipedia zilivyo, na kukuelezea kuhusu jumuia ya Wikipedia na sera muhimu za Wikipedia na makubaliano.

Huu ni mwongozo wa kimsingi tu, na siyo maelekezo ya kirefu. Iwapo unataka maelezo zaidi, kuna viungo kuelekea kurasa nyingine kwa maelezo zaidi. Kuzisoma na kuzielewa, unaweza ukazifungua katika kivinjari tofauti au katika dirisha la tabo.

Kuna viungo kuelekea katika kurasa za "sanduku la mchanga" ambapo unaweza kujipatia uzoefu kile unachojifunza. Hebu jaribu vitu tofauti na uchezecheze! Hakuna mtu atakayechukizwa endapo utavuruga na jaribio katika maeneo ya vitendo.

Ilani: Mwongozo umetoa maelezo yanayofaa hasa kwa wale wanaotumia umbo la kurasa la MonoBook. Tangu Septemba 2010 umbo la kurasa kama inavyoonekana kwa watumizi wasioingia akaunti ni Vector. Mwongozo bado haujaandikwa upya. Wale walioingia akaunti zao wanaweza kubadilisha umbo la kurasa kwenye mapendekezo yao. Umbo nyingine zinaweka viungo mahali tofauti kwenye ukurasa, na kama ni hivyo maelezo ya kupata viungo hayataeleweka moja kwa moja.


Tags:

mwongozo Mwongozo wa kuhariri Wikipedia – Utangulizimwongozo

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Dhima ya fasihi katika maishaMwamba (jiolojia)MwakaKongoshoBurundiBiblia ya KikristoKataNomino za pekeeOrodha ya Marais wa MarekaniMsokoto wa watoto wachangaMtumbwiMkoa wa ManyaraOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaChakulaMsituKisononoRaiaMpira wa mkonoMunguMichael JacksonTafsiriMkanda wa jeshiMagonjwa ya kukuMnara wa BabeliJohn MagufuliTanganyikaChumba cha Mtoano (2010)MtaalaTamathali za semiFisiJacob StephenHuduma ya kwanzaNyati wa AfrikaMafurikoUmoja wa MataifaUtawala wa Kijiji - TanzaniaAmri KumiOrodha ya milima ya TanzaniaMlongeOrodha ya makabila ya KenyaSoko la watumwaSimba S.C.Mkoa wa RuvumaTabataMilango ya fahamuHektariTulia AcksonSamia Suluhu HassanUhakiki wa fasihi simuliziKata za Mkoa wa Dar es SalaamKiongoziMapenzi ya jinsia mojaRitifaaKanga (ndege)InshaMtandao wa kijamiiKupatwa kwa JuaKanisa KatolikiMvua ya maweWameru (Tanzania)UchumiMwana FAUfugaji wa kukuRita wa CasciaBendera ya ZanzibarTungo kishaziDaktariWilaya ya NyamaganaOrodha ya nchi kufuatana na wakaziUchaguziTamthiliaZakaUkutaRicardo KakaUzalendoKishazi tegemezi🡆 More