Wahasidimu ni kundi la Wayahudi (kwa Kiebrania חסידות, hasidut, kutoka neno lenye maana ya ibada).
Asili yake ni mwamko wa kiroho katika karne ya 18 ambao kutoka Ukraine magharibi ulienea haraka Ulaya Mashariki kote.
Israel Ben Eliezer, "Baal Shem Tov", anahesabiwa kuwa mwanzilishi wake.
Leo wafuasi wake ni 400,000 hivi, na wengi wao wako Marekani, Israel na Ufalme wa Muungano.
Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Wahasidimu, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.