Waganda

Waganda (wao hujiita Baganda) ni kabila kubwa la Uganda likiwa na asilimia 16.9 za wakazi wote wa nchi hiyo.

Waganda
Bendera ya Buganda.
Waganda
Eneo la Buganda kati ya ziwa Viktoria, mto Nile na ziwa Kyoga.

Ufalme wao (Buganda) unaongozwa na mfalme anayeitwa Kabaka na unaenea katika Mkoa mzima wa Kati.

Ufalme huo ulikubali ulinzi wa Uingereza mwaka 1894 chini ya Mwanga II.

Lugha yao inaitwa Kiganda (wao wanasema: Luganda) na ni kati ya lugha za Kibantu.

Tanbihi


Marejeo

  • Roscoe, John (2005). The Baganda: An Account of Their Native Customs and Beliefs. Whitefish, MT: Kessinger Publishing. ISBN 978-1-4179-7538-9.

Viungo vya nje

Waganda  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waganda kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

AsilimiaKabilaUganda

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoWachaggaMashariki ya KatiFasihi andishiSimba S.C.Kiini cha atomuKito (madini)Orodha ya vyama vya kisiasa nchini KenyaWanyamweziAsiaNgeli za nominoMsengeDizasta VinaChuraHifadhi ya mazingiraNominoMacky SallUgonjwa wa kuharaMahakama ya TanzaniaUkooKadi ya adhabuOrodha ya maziwa ya TanzaniaKima (mnyama)SisimiziGhanaMike TysonTaasisi ya Taaluma za KiswahiliKiambishi awaliHadhiraKibodiUhifadhi wa fasihi simuliziUjimaSikukuuUingerezaMkoa wa MaraTanzania Breweries LimitedTausiAfrikaUmoja wa MataifaMwanamkeTesistosteroniAunt EzekielNgiriOrodha ya viongoziNyasa (ziwa)ShengKylian MbappéPicha takatifuVasco da GamaNimoniaOrodha ya nchi za Afrika kulingana na pato la taifaAfyaWiki CommonsOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaArsenal FCAustraliaBurundiJinsiaMwanzoLugha za KibantuItaliaKamusi elezoMlo kamiliKemikaliMoyoUajemiFid QWanyama wa nyumbaniFalsafaSaratani ya mapafuBendera ya TanzaniaJumuiya ya Madola🡆 More