Waadventisti

Waadventisti ni Wakristo wa madhehebu mbalimbali yanayosisitiza ujio wa pili wa Yesu yakisema uko jirani kutokea.

Waadventisti
Kanisa la Waadventisti huko Jyväskylä, Finland.

Ingawa sisitizo hilo lilijitokeza mara kadhaa katika historia ya Kanisa, lilipata nguvu mpya huko Marekani katika karne ya 19.

William Miller ndiye anayetajwa kama mwanzilishi wa tapo hilo kwa kufanya watu kati ya 50,000 na 100,000 kutarajia ujio huo utatokea tarehe 22 Oktoba 1844.

Baada ya siku hiyo kupita kama kawaida, wengi waliachana na utabiri huo, wengine walianzisha makundi mbalimbali. Miller hakujiunga na lolote, bali alihimiza umoja hadi kifo chake (1849).

Kati yake, lililoenea zaidi ni lile la Waadventista Wasabato (mwanzo rasmi mwaka 1863) ambalo kwa sasa lina waumini zaidi ya 17 milioni duniani kote.

Waadventisti
Matawi ya Waadventisti yaliyotokea katika karne ya 19.

Mashahidi wa Yehova pia wana asili katika tapo hilo.

Jaribio la kutabiri tarehe ya ujio wa pili kwa kupiga hesabu kutokana na Biblia lilitokea tena na tena hadi karne ya 21 bila mafanikio.


Tanbihi

Marejeo

  • Butler, Jonathan. "From Millerism to Seventh-Day Adventism: Boundlessness to Consolidation", Church History, Vol. 55, 1986
  • Jordan, Anne Devereaux. The Seventh-Day Adventists: A History (1988)
  • Land, Gary. Adventism in America: A History (1998)
  • Land, Gary. Historical Dictionary of the Seventh-Day Adventists (2005)
  • Morgan, Douglas. Adventism and the American Republic: The Public Involvement of a Major Apocalyptic Movement (University of Tennessee Press, 2001) ISBN 1-57233-111-9
  • Tarling, Lowell R. (1981). The Edges of Seventh-day Adventism: A Study of Separatist Groups Emerging from the Seventh-day Adventist Church (1844–1980). Barragga Bay, New South Wales: Galilee Publications. uk. 81. ISBN 0-9593457-0-1. 

Viungo vya nje

Waadventisti 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Waadventisti  Makala hii kuhusu dini ya Ukristo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Waadventisti kama historia yake, matokeo au athari zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

MadhehebuUjio wa piliWakristoYesu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

ArudhiTarafaBikira MariaAina za udongoKoffi OlomideKaabaUajemiKitenzi kikuuUtamaduni wa KitanzaniaWimbo wa Jumuiya ya Afrika MasharikiMashariki ya KatiOrodha ya nchi kufuatana na wakaziNabii EliyaHoma ya iniBahari ya HindiKitabu cha ZaburiHistoriaKorea KaskaziniUkimwiSenegalNjia ya MsalabaIsimuUNICEFMbiu ya PasakaKatekisimu ya Kanisa KatolikiMazungumzoMkoa wa MbeyaUlayaMombasaNomino za kawaidaMkataba wa Helgoland-ZanzibarMpwaKataMlo kamiliIsraeli ya KaleIniTiktokAdhuhuriKitenzi kishirikishiUandishi wa inshaVitenzi vishirikishi vikamilifuUbongoHaitiWaanglikanaDioksidi kaboniaMahakama ya TanzaniaKata za Mkoa wa Dar es SalaamZana za kilimoTanzaniaWashambaaAngahewaTashtitiOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaOrodha ya Marais wa TanzaniaKalenda ya mweziHali maadaKadi za mialikoOrodha ya matajiri wakubwa WaafrikaMamlaka ya Mapato ya TanzaniaKitenziAthari za muda mrefu za pombeChombo cha usafiriSimbaDubaiKuraniVidonge vya majiraFasihi simuliziMarekaniHoma ya mafuaSaratani ya mapafuVita ya Maji MajiSteve MweusiMbuga za Taifa la TanzaniaWazaramoKrismaNguruweWikimania🡆 More