Mashahidi Wa Yehova

Mashahidi wa Yehova (kwa Kiingereza Jehovah's Witnesses) ni wafuasi wa dini jamii ya Ukristo ambayo ilianzia Marekani na kuenea ulimwenguni kote.

Mashahidi Wa Yehova
Makao makuu ya kimataifa huko Brooklyn, New York, Marekani.

Tofauti na Wakristo karibu wote, hao hawamuamini Yesu kuwa Mungu sawa na Baba, wala Roho Mtakatifu kuwa nafsi, na kwa jumla hawakubali imani katika Utatu wa nafsi katika Mungu pekee. Kwa sababu hiyo madhehebu mengi hayawatambui kama Wakristo wala hayakubali ubatizo wao.

Mwanzilishi alikuwa Charles Taze Russell pamoja na kikundi cha wanafunzi wa Biblia (miaka ya 1870). Jina la sasa lilianza kutumika mwaka 1931.

Kwa sasa wako milioni 8.7 katika jumuia 120,387.

Kwa sababu hizo katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Tanzania wakati wa urais wa Julius Nyerere au bado ni marufuku.

Hoja dhidi yao

Wengi wamelaumu Mashahidi wa Yehova hasa kutokana na jinsi walivyotafsiri na wanavyofafanua Biblia, mafundisho yao, katazo la utoaji damu, kutokubali matibabu yanayohusisha damu, mara kadhaa za utabiri wao kutotimia hasa kuhusu mambo ya mwisho, pamoja na jinsi waumini wanavyofuatiliwa na kushinikizwa na viongozi wao.

Kwa sababu hizo na kwa kutokubali kwa sababu ya dhamiri kujiunga na jeshi, kusalimu bendera za taifa au kuimba nyimbo za Taifa , pamoja na msimamo wao wa kutounga mkono upande wowote katika siasa, katika nchi mbalimbali dini hiyo iliwahi kukatazwa, kama nchini Tanzania wakati wa urais wa Julius Nyerere au bado ni marufuku kama vile huko Kazakstan, Eritrea na sasa Urusi.

Wenyewe wamekataa daima lawama hizo, lakini kila mwaka wengi wanajitenga nao.

Tanbihi

Marejeo

Viungo vya nje

Mashahidi Wa Yehova 
Wiki Commons ina media kuhusu:

Tovuti rasmi

Tovuti nyingine

Mashahidi Wa Yehova  Makala hii kuhusu mambo ya dini bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu mada hii kama historia yake au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Mashahidi Wa Yehova Hoja dhidi yaoMashahidi Wa Yehova TanbihiMashahidi Wa Yehova MarejeoMashahidi Wa Yehova Viungo vya njeMashahidi Wa YehovaDiniKiingerezaMarekaniUkristoUlimwengu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Tabianchi ya TanzaniaUwanja wa UhuruUhuru wa TanganyikaMbossoWanyama wa nyumbaniLady Jay DeeFisiSaratani ya mlango wa kizaziKisimaKombe la Mataifa ya AfrikaPesaUkwapi na utaoAkiliUgonjwa wa uti wa mgongoUwanja wa Taifa (Tanzania)NileMbaazi (mmea)UkoloniMpira wa miguuSamia Suluhu HassanAlfabetiHuduma ya kwanzaMaudhui katika kazi ya kifasihiMkoa wa KigomaLionel MessiBaruaElla PowellSahara ya MagharibiMichezoShengChristina ShushoLugha ya taifaWhatsAppMkoa wa KageraUmojaKifaruSilabiLigi Kuu Tanzania BaraMillard AyoOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaCristiano RonaldoMaradhi ya zinaaKakaMuundoShinaKombe la Dunia la FIFAMtoni (Temeke)Mjusi-kafiriMkoa wa MaraRedioAfrikaArudhiKambaleMtandao wa kompyutaMkoa wa Unguja Mjini MagharibiNyegeVivumishi vya -a unganifuOrodha ya Marais wa ZanzibarBustaniNimoniaOrodha ya Marais wa NamibiaKitabu cha Yoshua bin SiraDhima ya fasihi katika maishaRita wa CasciaNdoaVipera vya semiMkoa wa MorogoroBendera ya ZanzibarP. FunkOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoMsitu🡆 More