Uislamu Katika Jamhuri Ya Kongo

Uislamu katika eneo la Jamhuri ya Kongo ulifika katika karne ya 19 wakati wafanyabiashara kutoka Afrika ya Mashariki walifika kwa biashara ya pembe za ndovu na ya watumwa.

Uislamu kwa nchi
Uislamu Katika Jamhuri Ya Kongo

Kuna makadirio tofauti kuhusu idadi ya Waislamu nchini kati ya asilimia 1.5 hadi 10.

Mnamo mwaka wa 2005 msikiti mpya mkubwa ulijengwa mjini Brazzaville. Ni kwamba wafanyakazi wengi wa mijini ni wahamiaji kutoka Afrika ya Magharibi na Lebanon, na baadhi kutoka Afrika ya Kaskazini. Wahamiaji kutoka Afrika Magharibi hasa ni kutoka Mali, Benin, Togo, Mauritania na Senegal. Walebanoni wengi ni Sunni. Pia kulikuwa na kundi kubwa la Waislamu kutoka Chad.

Waislamu walio wengi ni Wasunni wa madhhab ya Maliki, wachache Washia au Waahmadiyya.

Siku tukufu za Kiislamu hazitajwi kitaifa; lakini, zinaheshimiwa. Waajiri wanawakubalia likizo wale ambao wanataka kupumzika na sikukuu zao hazimo katika kalenda ya taifa.

Tazama pia

  • Dini katika Jamhuri ya Kongo

Marejeo

Tags:

Afrika ya MasharikiBiasharaKarne ya 19Pembe za ndovuWafanyabiasharaWatumwa

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Uislamu kwa nchiChe GuevaraOrodha ya Marais wa MarekaniUenezi wa KiswahiliFacebookOrodha ya mito nchini TanzaniaSamia Suluhu HassanKamala HarrisLiberiaTanganyika African National UnionShirika la Reli TanzaniaTetekuwangaKaskaziniMuhammadKadi za mialikoKanga (ndege)Mbuga za Taifa la TanzaniaVipera vya semiWanyamweziMorokoMadiniRitifaaUsawa wa kijinsiaCristiano RonaldoMsengeMnjugu-maweViwanja vya Afrika (Kwa Ukubwa)Taswira katika fasihiMatiniMwislamuBiblia ya KikristoBiasharaOrodha ya vyama vya siasa TanzaniaMobutu Sese SekoMishipa ya damuMahakamaVivumishi vya kumilikiUsanisinuruPumuHoma ya matumboWaheheMalipoMnururishoMichezoMaliasiliJinsiaBibliaMfumo wa JuaAsiaChunusiMziziSwalahAndalio la somoOrodha ya Marais wa ZanzibarMandhariPink FloydHerufiUyogaAsidiUshirikianoJeshiAishi ManulaNgome ya YesuOrodha ya Vyuo Vikuu vya TanzaniaMkoa wa PwaniJiniUfupishoHarakati za haki za wanyamaSimon MsuvaInternet Movie DatabaseMkoa wa SingidaSanaaWanyaturuNguvuUtawala wa Kijiji - Tanzania🡆 More