Uislamu nchini Ethiopia ni dini ya pili kwa wingi wa waumini ambayo inafuatwa sana baada ya Ukristo.
Uislamu kwa nchi |
Kwa mujibu wa sensa ya taifa ya mwaka wa 2007, kuna waumini zaidi ya milioni 25 (au 34% ya wakazi wote) ambao ni Waislamiu.
Uislamu ni dini yenye kundi la watu wengi ambao ni Wasomali, Wafar, Wargobba, Waharari, Waberta, Walaba, na Wasilt'e; pia wafuasi wengi miongoni mwao ni Wagurage na Waoromo.
Imani hiyo iliwasili nchini Ethiopia mapema sana, muda mfupi baada ya Hijira.
Makala kuhusu Uislamu kwa nchi bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Uislamu nchini Ethiopia, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.