Brazzaville

Brazzaville ni mji mkuu wa Jamhuri ya Kongo. Una wakazi 2,308,000 (mwaka 2019) ambao ni sawa na 40% ya wananchi wote.

Jiji la Brazzaville
Nchi Jamhuri ya Kongo
Brazzaville
Brazzaville.
Brazzaville
Kinshasa, Brazzaville na mto Kongo.

Uko kando ya mto Kongo ukitazamana na mji wa Kinshasa ng'ambo ya mto.

Brazzaville una bandari kwenye mto Kongo na mwanzo wa reli kuelekea pwani.

Historia

Jina la Brazzaville limetokana na Mfaransa Pierre Savorgnan de Brazza aliyenunua hapa ardhi kutoka kwa chifu Makoko na kujenga kituo kilichokua na kuwa mji baadaye.

Tangu mwaka 1898 Brazzaville ulikuwa mji mkuu wa Kongo ya Kifaransa ukawa na wakazi 5,000 mnamo 1900 walioongezeka kuwa lakhi moja mwaka 1950.

Mwaka 1940 Brazzaville ulikuwa kwa muda mfupi mji mkuu wa Ufaransa Huru yaani Ufaransa usio chini ya Ujerumani hadi kuhamia kwa serikali hiyo kwenda Algiers.

Vitabu

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Kitenzi kishirikishiMaambukizi ya njia za mkojoJakaya KikweteHadithi za Mtume MuhammadManispaaSimba S.C.Uharibifu wa mazingiraOrodha ya milima mirefu dunianiKalenda ya KiislamuIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)MachweoSinagogiWaluguruUbungoNileOrodha ya makabila ya KenyaNdovuJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaDuniaBinadamuMwanamkeWema SepetuOrodha ya majimbo ya MarekaniMkwawaStephane Aziz KiMaandishiNembo ya TanzaniaVipera vya semiSayariDhamiraTanganyika African National UnionUsanifu wa ndaniIsraeli ya KaleUfugaji wa kukuWizara za Serikali ya TanzaniaSikukuu za KenyaBawasiriSerikaliMbuniUenezi wa KiswahiliDini asilia za KiafrikaMadiniJoyce Lazaro NdalichakoMaumivu ya kiunoFananiMshororoUturukiMange KimambiWaziriMichael JacksonAina za manenoSteve MweusiAdolf HitlerNomino za dhahaniaAthari za muda mrefu za pombeRita wa CasciaWameru (Tanzania)WashambaaMoses KulolaKukuZabibuVitendawiliFani (fasihi)Afrika Mashariki 1800-1845TumbakuPentekosteVita Kuu ya Pili ya DuniaIdi AminOrodha ya milima ya TanzaniaFuti🡆 More