Tom Cruise

Tom Cruise (amezaliwa 3 Julai 1962) ni mwigizaji wa filamu kutoka Marekani.

Tom Cruise
Tom Cruise na Katie Holmes mnamo Juni 2009.
Tom Cruise
Cruise akiruka kwenye kochi la Oprah.

Ndoa ya tatu

Cruise, aliyekuwa ameshapata talaka mara mbili, aliwahi kumwita Katie Holmes kwa mkutano wa binafsi kwenye ofisi yake. Inasemekana kuwa wawili hawa walianza kupendana baada ya mkutano huu wa masaa manne. Wawili hawa walianza kuonekana mwaka wa 2005 na wana mtoto mmoja aitwaye Suri, aliyezaliwa mnamo 2006. Mnamo 27 Aprili 2005, Cruise na Holmes walionekana kwa mara ya kwanza wakiwa pamoja mjini Roma kwenye sherehe ya David di Donatello Awards.

Baada ya mwezi mmoja, Cruise alijulikana kwa kuruka juu ya kochi kwenye kipindi cha Oprah Winfrey akipiga kelele kuwa anampenda Holmes kwa dhati. Baada ya miezi miwili tu ya kujuana, Cruise alimposa Holmes na kuwa mchumba wake katika mkahawa wa Jules Verne iliyo kwenye Eiffel Tower akimvisha pete ya almasi. Mnamo 6 Oktoba 2005, walitangaza kuwa wanatarajia mtoto.

Mnamo 18 Aprili 2006, Holmes alijifungua mtoto wa kike anayeitwa Suri. Mnamo 18 Novemba 2006, miezi saba baada kuzaliwa kwa Suri, wawili hawa walioana mjini Bracciano, Italy. Mwisho wameachana.

Marejeo

Tags:

19623 JulaiFilamuMarekaniMwigizaji

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

TovutiAfrika KusiniKamusi za KiswahiliNambaVielezi vya mahaliMajina ya Yesu katika Agano JipyaAmina ChifupaLatitudoNyati wa AfrikaKifua kikuuLakabuKupatwa kwa JuaNdege (mnyama)WahayaMkoa wa ManyaraUgonjwa wa kuharaUshairiKishazi huruKipindupinduWilaya ya UbungoVisakaleInjili ya MarkoWashambaaBarua pepeIniNguzo tano za UislamuHadithiNdovuMeno ya plastikiMfuko wa Taifa wa Hifadhi ya JamiiApril JacksonWilaya ya TemekeBunge la TanzaniaJumuiya ya MadolaKimeng'enyaMjombaKalenda ya KiislamuEthiopiaLugha ya taifaUtumbo mpanaAfrika Mashariki 1800-1845UjimaIsimujamiiKutoa taka za mwiliUnyenyekevuJay MelodyShairiBiashara ya watumwaPalestinaIfakaraVita vya KageraPasakaMichael JacksonTanganyika (ziwa)Mohammed Gulam DewjiDar es SalaamAfrikaOrodha ya milima ya AfrikaUfugaji wa kukuViwakilishi vya idadiNathariNgonjeraVieleziKisimaMandhariSerikaliMawasilianoMfuko wa Mawasiliano kwa WoteHistoria ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya KongoTaswira katika fasihiJokate MwegeloKipazasautiShukuru Kawambwa🡆 More