Richard Roxburgh

Richard Roxburgh (amezaliwa 1 Januari 1962) ni mwigizaji wa tamthilia na filamu kutoka nchini Australia.

Richard Roxburgh
Richard Roxburgh.
Richard Roxburgh.
Jina la kuzaliwa Richard Roxburgh
Alizaliwa 1 Januari 1962
Australia
Kazi yake Mwigizaji

Amecheza filamu nyingi sana huko nchini huko na ameonekana zaidi katika baadhi ya filamu za mjini Hollywood, Marekani. Roxburgh mara nyingi hucheza kama jambazi. Pia aliwahi kucheza kama adui mkuu msaidizi katika filamu aliyocheza nyota Tom Cruise - Mission Impossible II. Vilevile katika Van Helsing aliyocheza nyota Hugh Jackman, humo alicheza kama adui mkubwa - Dracula.

Filamu alizoigiza

  • Romulus, My Father Director (2007)
  • Like Minds (2006)
  • Fragile (2005)
  • Stealth (2005)
  • Van Helsing (2004)
  • League of Extraordinary Gentlemen (2003)
  • The One and Only (2002)
  • The Touch (2002)
  • The Hound of the Baskervilles (2002) (TV)
  • Moulin Rouge! (2001)
  • Mission: Impossible II (2000)
  • Passion: The Story of Percy Grainger (1999)
  • In The Winter Dark (1998)
  • Thank God He Met Lizzie (1997)
  • Children of the Revolution (1996)

TV

  • The Silence
  • Frontier
  • The Last of the Ryans
  • Gluttony: Seven Deadly Sins
  • Tracks of Glory
  • Police Rescue
  • The Saint: Fear in Fun Park
  • Riddle of the Stinson
  • The Ordinary Man
  • One Way Ticket for Twisted Tale
  • The Paper Man

Tuzo

- Taasisi ya filamu Australia:

  • 2006 - ameshinda : The Silence (TV)
  • 2001 - ameshinda : Moulin Rouge!
  • 1999 - ameshinda : Passion
  • 1997 - ameshinda : Doing Time for Patsy Cline

- Tuzo za filamu Australia:

  • 1998 - ameshinda : Doing Time for Patsy Cline

Viungo vya nje

Tags:

Richard Roxburgh Filamu alizoigizaRichard Roxburgh TuzoRichard Roxburgh Viungo vya njeRichard Roxburgh1 Januari1962AustraliaFilamuMwigizajiTamthilia

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

JinaMpira wa miguuLahaja za KiswahiliOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuBenki ya DuniaAla ya muzikiMeta PlatformsTungo sentensiMkoa wa MaraMillard AyoKinyakyusaUharibifu wa mazingiraUgonjwa wa uti wa mgongoKito (madini)BinadamuLigi Kuu Uingereza (EPL)MizaniHarmonizeHotubaMauaji ya kimbari ya RwandaWahaMkoa wa Dar es SalaamMkoa wa MwanzaMartha MwaipajaSemiUlemavuAfrikaUzazi wa mpangoDhima ya fasihi katika maishaMsumbijiNgome ya YesuRejistaDini asilia za KiafrikaMalariaMzabibuKupatwa kwa MweziApril JacksonMaana ya maishaMfumo wa nevaMaji kujaa na kupwaJohn Raphael BoccoUtumwaKiini cha atomuMbwana SamattaTaswira katika fasihiIdi AminBungeShikamooNambaAsiaVisakaleSarataniNguvaTreniViwakilishi vya idadiWamanyemaMrijaTungoMilango ya fahamuJeshi la Ulinzi la Wananchi wa TanzaniaUlimwenguSaratani ya mlango wa kizaziKisimaHistoria ya WapareSilabiTenziWakingaUgonjwa sugu wa njia za pumzi zilizofunganaUjerumaniNyaniMethaliDioksidi kabonia🡆 More