Grenada St. George's

Saint George's ni mji mkuu wa Grenada ambayo ni nchi ya visiwani ya Karibi kati ya visiwa vya Antili Ndogo.

Saint George's' ni mji mdogo tu mwenye wakazi 4,300 lakini pamoja na watu wa eneo la karibu ni mnamo 33,000. Uko kwenye pwani la kusini-magharibi ya kisiwa cha Grenada.

St. George's
Grenada St. George's
Kitovu cha St. George's pamoja na bandari yake
Habari za kimsingi
Utawala Mji ni sehemu ya ushirika raia wa St. George's (parish of Saint George's)
Anwani ya kijiografia Latitudo: 12°2′40"N
Longitudo: 61°44′30"W
Kimo takr. 3 - 52 m juu ya UB
Eneo - Ushirika raia 39 km²
- mji ? km²
Wakazi watu 4,315 mjini (2006)
takriban 33,000 katika rundiko la mji (2006)
Msongamano wa watu watu ? kwa km² (ushirika)
Simu +1473 (nchi yote)
Mahali
Grenada St. George's
Grenada St. George's

Mji ulianzishwa na Wafaransa mnamo 1650. Tangu 1763 umekuwa chini ya Uingereza hadi uhuru.

Hadi 1960 ilikuwa mji mkuu wa koloni ya Uingereza ya Windward Islands iliyojumlisha Saint Lucia, Saint Vincent, visiwa vya Grenadini na Grenada.

Grenada St. George's Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.

Tags:

Antili NdogoGrenadaKaribiMji mkuuNchi ya visiwani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MazungumzoKinyonga (kundinyota)BinamuHafidh AmeirMaktabaKupatwa kwa JuaSteve MweusiMaadiliMamelodi Sundowns F.C.JumapiliNziTendo la ndoaTabianchi ya TanzaniaJinsiaUmojaFonetikiMilango ya fahamuUfahamu wa uwezo wa kushika mimbaUenezi wa KiswahiliBiashara ya watumwaMuundo wa inshaMichezo ya watotoNomino za dhahaniaMkoa wa TaboraHarmonizeKigoma-UjijiKidoleUhuruRoho MtakatifuMkoa wa TangaLimauTafsidaTarakilishiVivumishiNamba za simu TanzaniaHuduma ya kwanzaMbogaUandishiKiambishi awaliUkabailaUgonjwa wa akiliKuchaDiamond PlatnumzHistoria ya ZanzibarElimu ya watu wazimaUkimwiJuxFonolojiaMatendo ya MitumeIsha RamadhaniMivighaKitenzi kikuu kisaidiziOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaHadhiraRayvannyBogaMisimu (lugha)Azimio la ArushaMbuga za Taifa la TanzaniaDamuUmoja wa MataifaWanyamweziMwaka wa KanisaFran BentleySomo la UchumiSongea (mji)Bikira MariaKifaruUhifadhi wa fasihi simuliziZama za MaweDaudi (Biblia)LahajaRashidi Kawawa🡆 More