Sint Eustatius (yaani Mtakatifu Eustasi, au kifupi: Statia au Statius) ni kisiwa cha bahari ya Karibi karibu na Saint Kitts (Amerika ya Kati).
Ni sehemu ya pekee ya Uholanzi.
Eneo lake ni kilometa mraba 21 tu.
Baada ya kuonekana na Kristofa Columbus mwaka 1493, umiliki wa kisiwa ulibadilikabadilika mara 22.
Wakazi wa kudumu ni 3,897. Wengi wao huongea hasa Krioli ya Kiingereza, ingawa Kiholanzi ndicho lugha rasmi.
Makao makuu ni Orangestad.
Makala hii kuhusu maeneo ya Bahari ya Karibi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Sint Eustatius kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Sint Eustatius, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.