Muscicapidae Shore

Jenasi 14:

Shore
Shore kijivucheusi
Shore kijivucheusi
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
Nusufaila: Vertebrata (Wanyama wenye uti wa mgongo)
Ngeli: Aves (Ndege)
Oda: Passeriformes (Ndege kama shomoro)
Familia ya juu: Muscicapoidea (Ndege kama shore)
Familia: Muscicapidae (Ndege walio na mnasaba na shore)
Nusufamilia: Muscicapinae (Ndege wanaofanana na shore)
Ngazi za chini

  • Anthipes Blyth, 1847
  • Cyanoptila Blyth, 1847
  • Cyornis Blyth, 1843
  • Empidornis Reichenow, 1901
  • Eumyias Cabanis, 1850
  • Ficedula Brisson, 1760
  • Fraseria Bonaparte, 1854
  • Humblotia Milne-Edwards & Oustalet, 1885
  • Melaenornis G.R. Gray, 1840
  • Muscicapa Brisson, 1760
  • Muscicapella Bianchi, 1907
  • Myioparus Roberts, 1922
  • Niltava Hodgson, 1837
  • Rhinomyias Sharpe, 1879

Shore, shorwe au sholwe ni ndege wadogo wa nusufamilia Muscicapinae katika familia Muscicapidae. Spishi nyingine zinaitwa chekiro, kidaku au gongo shaba. Spishi kadhaa za familia Pycnonotidae zinaitwa shore pia. Wale wa Muscicapinae wana rangi ya kahawa, kijivu au nyeusi kwa kawaida, lakini spishi nyingine wana rangi kali kama buluu, nyekundu, manjano na machungwa. Shore wanatokea misitu na maeneo mengine yenye miti katika Afrika na Asia. Hula wadudu. Kwa kawaida shore hukaa tawi wakiangalia ujirani. Wakiona mdudu huruka ili kumkamata na kurudi tawi. Hujenga tago lao kwa umbo wa kikombe katika tundu la mti au dhidhi ya shina. Jike huyataga mayai 2-6.

Spishi za Afrika

Spishi wa Asia

Picha

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

Ukwapi na utaoTupac ShakurSheriaVivumishi vya idadiOrodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watuMunguUtumbo mpanaSalama JabirChris Brown (mwimbaji)DayolojiaSeli za damuKodi (ushuru)Umoja wa AfrikaSaida KaroliUshogaMaudhuiOrodha ya mikoa ya Tanzania na Pato la TaifaMkoa wa PwaniNimoniaDar es SalaamNairobiMvuaRamadan (mwezi)Haki za watotoInjili ya YohaneShinikizo la juu la damuUpinde wa mvuaTarakilishiUgonjwa wa uti wa mgongoUkimwiEe Mungu Nguvu YetuKiambishi awaliFMUsultani wa ZanzibarZuchuLenziPunyetoKina (fasihi)FerbutaVielezi vya mahaliMkwawaSalaJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoOrodha ya Watakatifu WakristoBungeBaraKamusi ya Kiswahili - KiingerezaMafumbo (semi)AntibiotikiOsama bin LadenDhahabuAzimio la Kimataifa juu ya Haki za BinadamuHaki za binadamuVincent KigosiRoho MtakatifuKito (madini)MarekaniSomaliaDhambiAdhuhuriJakaya KikweteUongoziHewaBara ArabuMaambukizi nyemeleziAfrika ya Mashariki ya KijerumaniOrodha ya Marais wa UgandaMkoa wa MaraKiburiAina za manenoInternet Movie DatabaseShomari KapombeAbedi Amani KarumeJumuiya ya MadolaUbongoKonsonanti🡆 More