Port Said

Port Said (kwa Kiarabu بورسعيد, inatafsirika kama Būr Saʻīd) ni mji wa nchi ya Misri, karibu kidogo na Mfereji wa Suez, ambao unakadiriwa kuwa na wakazi wapatao 500,000 waishio katika mji huo.

Jiji la Port Said
Jiji la Port Said is located in Misri
Jiji la Port Said
Jiji la Port Said

Mahali pa mji wa Port Said katika Misri

Majiranukta: 31°15′0″N 32°17′0″E / 31.25000°N 32.28333°E / 31.25000; 32.28333
Nchi Misri
Mkoa Port Said
Tovuti:  www.portsaid.gov.eg/
Port Said
Misri: Sehemu ya PortSaid (juu).
Mji wa Port Said, Misri
Mji wa Port Said, Misri

Mji wa Port Said, unasemekana kuwa na samaki wengi na viwanda. Viwanda vinavyopatikana huko ni pamoja na vya kampaundi, vyakula na sigara.

Port Said pia ni bandari muhimu kwa kusafirishia bidhaa za Misri kama vile pamba na mchele. Pia kuna kituo cha kujazia mafuta kwa meli ambazo zinapita kuelekea Suez.

Viungo vya nje

Port Said 
Wiki Commons ina media kuhusu:
Port Said  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Port Said kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MusuliRohoPentekosteAfrika ya MasharikiTesistosteroniUlumbiKupatwa kwa MweziHassan bin OmariHoma ya iniTaasisi ya Taaluma za KiswahiliAir TanzaniaWachaggaKendrick LamarYoweri Kaguta MuseveniBikira MariaMadinaPunyetoMusaBiblia ya KikristoFani (fasihi)KairoMmeaHistoriaOrodha ya majimbo ya MarekaniVitendawiliAsili ya KiswahiliShirika la Utangazaji TanzaniaMwaka wa KanisaMbogaUfugaji wa kukuKalendaMagonjwa ya kukuUtafitiVivumishi vya idadiHadhiraJuma kuuDar es SalaamAgano JipyaOrodha ya kampuni za TanzaniaFonolojiaKamusi ya Kiswahili sanifuMbooOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaVipaji vya Roho MtakatifuBaraza la mawaziri TanzaniaLugha za KibantuUsultani wa ZanzibarImaniBunge la Afrika MasharikiKitovuUjimaEthiopiaUkristoUshogaDhamiraDuniaFalsafaSaddam HusseinSamia Suluhu HassanMbaraka MwinsheheJokate MwegeloMisemoGhanaRiwayaKitunguuKilatiniSakramentiOrodha ya shule nchini TanzaniaMkoa wa Tanga🡆 More