Papa Boniface I alikuwa Papa kuanzia tarehe 28/29 Desemba 418 hadi kifo chake tarehe 4 Septemba 422.
Alitokea Roma, Italia, alipopewa ushemasi na Papa Damaso I.
Alimfuata Papa Zosimus akafuatwa na Papa Selestino I.
Kabla ya kuchaguliwa Papa alikuwa balozi wa Papa Inosenti I huko Konstantinopoli.
Kama Papa alijitahidi kurudisha na kudumisha nidhamu ndani ya Kanisa na kutetea mamlaka ya Kanisa la Roma katika Iliriko.
Alimuunga mkono Agostino wa Hippo dhidi ya uzushi wa Upelaji
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Sikukuu yake ni tarehe 4 Septemba.
Makala hii kuhusu Papa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Papa Boniface I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
This article uses material from the Wikipedia Kiswahili article Papa Boniface I, which is released under the Creative Commons Attribution-ShareAlike 3.0 license ("CC BY-SA 3.0"); additional terms may apply (view authors). Maudhui yanapatikana kwa chini ya CC BY-SA 4.0 isipokuwa iwe imebainishwa vinginevyo. Images, videos and audio are available under their respective licenses.
®Wikipedia is a registered trademark of the Wiki Foundation, Inc. Wiki Kiswahili (DUHOCTRUNGQUOC.VN) is an independent company and has no affiliation with Wiki Foundation.