Nikolasi Wa Myra

Nikolasi wa Myra (Mtakatifu Nikolasi kwa Kigiriki Ἅγιος Νικόλαος agios nikolaos; 270 – 6 Desemba 343), alikuwa askofu wa mji wa Myra akaendelea kuwa mmoja wa watakatifu maarufu zaidi wa Kanisa la Kikristo.

Nikolasi Wa Myra
Nikolasi wa Myra jinsi alivyochorwa na mtawa Mrusi katika karne ya 12.

Tarehe 6 Desemba ni sikukuu yake inayosheherekewa na Wakristo Wakatoliki, Waorthodoksi na pia na sehemu ya Waprotestanti katika Ulaya ya kati na kaskazini.

Maisha

Hakuna habari nyingi za kihistoria zenye uhakika juu ya maisha yake lakini hadithi zilizosimuliwa juu yake ziko tele.

Myra leo hii inaitwa Demre, ni mji kusini mwa Uturuki, si mbali na Antalya. Ulikuwa mji wa bandari.

Nikolasi alikuwa na sifa ya kutenda miujiza pamoja na uponyaji.

Anasemekana alikuwa na tabia ya kuwaletea watu maskini na watoto zawadi kwa siri; kwa hiyo hukumbukwa hadi leo kwenye sikukuu yake ambako watoto katika nchi mbalimbali hupokea zawadi zinazowekwa ndani ya viatu au ndani ya soksi.

Kutokana na desturi hii amekuwa pia kielelezo au chanzo cha Baba Krismasi iliyo desturi badala ya Nikolasi.

Katika Ulaya ya karne za kati aliheshimiwa kama mtakatifu msimamizi wa wanabahari na wafanyabiashara; hapo ni sababu mojawapo ya kwamba kuna makanisa mengi sana yenye jina lake.

Picha

Tazama pia

Marejeo

Nikolasi Wa Myra  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.

Tags:

Nikolasi Wa Myra MaishaNikolasi Wa Myra PichaNikolasi Wa Myra Tazama piaNikolasi Wa Myra MarejeoNikolasi Wa Myra2703436 DesembaAskofuKanisaKigirikiMjiUkristoWatakatifu

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

MbuniNamba za simu TanzaniaMkoa wa ShinyangaNdovuFamiliaMapambano ya uhuru TanganyikaZiwa ViktoriaSimba S.C.Tulia AcksonMaishaRamaniRejistaMuda sanifu wa duniaUkatiliUmoja wa MataifaUhuru wa TanganyikaWanyamaporiKidole cha kati cha kandoMfuko wa Mawasiliano kwa WoteKitenziAsidiNyukiUwanja wa Taifa (Tanzania)HistoriaKiboko (mnyama)Rupie ya Afrika ya Mashariki ya KijerumaniNduniJamhuri ya Kidemokrasia ya KongoMlima wa MezaUjerumaniUmaskiniDivaiShahawaTungo kiraiStashahadaMkoa wa NjombeNabii EliyaUNICEFHedhiMawasilianoLugha ya taifaMagharibiIdara ya Usalama wa Taifa (Tanzania)GeorDavieMarekaniLuhaga Joelson MpinaHadhiraKishazi huruKhadija KopaMbwana SamattaMahakama ya TanzaniaMkoa wa DodomaSodomaMiundombinuHerufiIntanetiMwakaHistoria ya IranOrodha ya kampuni za TanzaniaOrodha ya Mawaziri Wakuu wa TanzaniaOrodha ya Marais wa KenyaMlongeMkutano wa Berlin wa 1885Wilaya ya IlalaMange KimambiAlizetiBiblia ya KikristoUvimbe wa koromeo usababishwao na streptokokiMafurikoLigi Kuu Tanzania BaraAfrika ya Mashariki🡆 More