Mtaalamu Wa Anga

Mtaalamu wa anga ni mtaalamu wa masuala ya elimuanga (kwa Kiingereza: astronomy) au elimu ya anga-nje na violwa vya angani kama nyota, sayari, nyotamkia, na galaksi.

Mtaalamu Wa Anga
Mtaalamu wa anga wa kihistoria akipima pembe baina ya nyota kwa kutumia sudusi

Kihistoria watu hao walitumia muda mwingi kuangalia nyota za anga kwa msaada wa vyombo kama darubini. Leo hii wataalamu wa anga hutumia hasa kompyuta na data kutokana na vipimo vya paoneaanga, vyombo vya anga-nje na darubini za angani.

Wataalamu wa anga wamesoma elimuanga ambayo ni tawi la pekee la sayansi, mara nyingi pamoja na kusoma matawi mengine ya sayansi kama fizikia, kemia, biolojia na kadhalika.

Wasichanganywe na majusi ambao husomea unajimu (kwa Kiingereza: astrology) na kutoa utabiri kuhusu maisha na tabia za watu kwa kuwa huo si tawi la sayansi yoyote, ingawa unadai kutegemea uchunguzi wa nyota n.k.

Mtaalamu Wa Anga Makala hii kuhusu mambo ya fizikia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mtaalamu wa anga kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

Tags:

Anga-njeElimuElimuangaGalaksiKiingerezaMtaalamuNyotaNyotamkiaSayariViolwa vya angani

🔥 Trending searches on Wiki Kiswahili:

UtandawaziVielezi vya mahaliAlama ya uakifishajiChuraMahakamaTupac ShakurLatitudoOrodha ya mikoa ya Tanzania kwa eneoRamadan (mwezi)MnururishoNetiboliMajira ya mvuaNominoAina za manenoFasihi simuliziFamiliaHekaya za AbunuwasiJihadiUwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius NyerereMajiReal BetisUpepoMkoa wa KataviKisononoPandaMkoa wa RukwaOrodha ya Makamu wa Rais TanzaniaMaji kujaa na kupwaMaumivu ya kiunoTungoJohn Raphael BoccoMazingiraDNAMethaliManeno sabaKihusishiKumaMkoa wa IringaMuzikiSintaksiBendera ya TanzaniaMtakatifu PauloVivumishi vya pekeeMfumo wa mmeng'enyo wa chakulaRitifaaUfaransaKalenda ya GregoriVivumishi vya kumilikiWilliam RutoKitovuWaanglikanaUgonjwaMeta PlatformsJuma kuuSaratani ya mapafuNdovuMsibaTanzaniaDhambiUjamaaNamba tasaMkoa wa SingidaDeuterokanoniRené DescartesMaghaniUajemiNyanda za Juu za Kusini TanzaniaKiboko (mnyama)UgandaNomino za wingiChatuEkaristi🡆 More